Wanawake mtuvumilie tu

Hapo ndio hua sielewi kabisaaa,unaanzaje kumvulia mwanamke zipu bila nafsi yako kukusuta kua jee mkeo /mpenzi wako
akifanya hivyo utajisikiyaje?
Ogopa sana kichwa cha chini kikipanga maamuzi
 
Fungueni tu ila msituletee maradhi, na pesa msihonge huko.
 
 
sorry

*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane*
 
me napenda sana mada zako mana unawachan madem kama nini yani unawavua nguo kabsaa

ila mbon kila siku wo tuu sijawahi ona mada zko nyngn mtoa mada

una ajenda gani na wanawake
 
Mimi nishakiri, na nitazidi kusisitiza, sitakaa nimfatilie mume wangu, as long as ataendelea kunipenda, kunithamini mimi na watoto wetu na kuniheshimu. Apige nje ila ajue dhambi ni yake si yangu, I just want him happy that's all. Hela tu isiishe ndani, matumizi atoe as usual, na huduma zote muhimu. Atumie condom asiniletee magonjwa ya ngono bure. Na akumbuke kutoa huduma ya sex ipasavyo ninapohitaji. So ni yeye tu, kila mtu na dhambi zake. Nitajitahidi sana kusimamia hili nitawapeni feedback nikifanikiwa panapo majaaliwa ya uzima.
 
Hapo ndio hua sielewi kabisaaa,unaanzaje kumvulia mwanamke zipu bila nafsi yako kukusuta kua jee mkeo /mpenzi wako
akifanya hivyo utajisikiyaje?
Huu ni mtihani mkubwa sana. Baada ya bao moja tu ndio kumbukumbu ya Wife/Girlfriend inakuja na majuto million, Kwanini nimemsaliti. Yeye akinisaliti je?

Ila kama mtoa mada alivyotanguliza SAMAHANI na mimi nimuombe my future Ex-Mpenzi samahani tu. Hii kitu inatokeaga tu
 
Aisee umeongea kwa hisia sana, ama kwa hakika wewe ni mke bora
 
me napenda sana mada zako mana unawachan madem kama nini yani unawavua nguo kabsaa

ila mbon kila siku wo tuu sijawahi ona mada zko nyngn mtoa mada

una ajenda gani na wanawake
Hao wanawake wewe niachie mimi nimalizane nao... Manake walichokifanya Eden sidhani kama nitakisahau kirahisi
 
Hamna namna jamani cheating is inevitable thing to man. Mtuvumilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…