Habari wakuu!
Leo nimeenda hospitali moja! Nikakutana na jamaa tuliyesoma wote miaka hyoo!!
Nikakuta anajaribu kumweleza mwenzako kuhusu habari ya vinasaba (DNA). Jamaa ikawa haelewi Dokta akampa mfano mmoja.
Ulikuwa unajua mwanamke maishani mwake akifanya sex na wanaume 10 ila kwa bahati nzuri akapata mwanaume akampa mimba yule mtoto atakayezaliwa atakuwa na tabia kuanzia mwanaume wa kwanza hadi wa kumi (10) ambaye mwanake amewahi kusex nao kabla.
Hapo jamaa akashangaa! Akamuuliza ww mke wako ww ndo uliyemtoa bikra..... au!????
Jama akasema hapana.......
Jamaa kamaliza kwa kusema asante!!
Kila mtu kabaki na maswali , kwama je hv mm mke wangu nimeanza mimi au!??????
Wakuu mlio owaa embu tupeni experience
!!!!
Asante