Kumbe mi buege eeh?Anamaanisha tigo ndio mtindo wa kisasa,kwa nini umlaumu? tigo si ipo na inapendwa zaidi au?,ina maana wewe umepitwa na wakati,sababu yeye kuja huku akiwa kwenye siku zake ni wewe wa kujiongeza ili utafune vitu adimuuuuu eboooo.
Huwa tunakua hivyo kutokana na nyie wapo wanawake unamtongoza leo na anakupa siku hiyo hiyo hapo unakua umemhonga saa ngapi? Kupewa au kunyimwa kunatengenezwa na nyie wenyeweHivi na nyie mbona mnakuwaga wagumu sana kutoa kama bado hujamchuna?
Aisee itabidi nikupigie tu,,,Huwa tunakua hivyo kutokana na nyie wapo wanawake unamtongoza leo na anakupa siku hiyo hiyo hapo unakua umemhonga saa ngapi? Kupewa au kunyimwa kunatengenezwa na nyie wenyewe
Huwa tunakua hivyo kutokana na nyie wapo wanawake unamtongoza leo na anakupa siku hiyo hiyo hapo unakua umemhonga saa ngapi? Kupewa au kunyimwa kunatengenezwa na nyie wenyewe
Hahana nyinyi Wengi wenu wababaishaji zaidi ya mara moja nimeskia "asimpe au usimpe mapema amchunechune kwanza/mchunechune kwanza" inamaana gani unafikiri.Huwa tunakua hivyo kutokana na nyie wapo wanawake unamtongoza leo na anakupa siku hiyo hiyo hapo unakua umemhonga saa ngapi? Kupewa au kunyimwa kunatengenezwa na nyie wenyewe
Zaba kibao, halafu unaomba msamahaUnapanga na msichana mkutane hotelini kwenda kupiga mechi ya mchanga, anakwambia hana pesa ya nauli unamtumia nauli, anafika hoteli anaagiza msosi mnakula msosi wa wanguvu. Kidume unatoa pesa kwenda kulipia room mpige mechi, mnaingia mpaka kwa room wewe na mpenzi wako.
Ile unamuandaa ili muanze tukio anakuangalia usoni kwa huruma kama mbuzi wa hitima alafu anakwambia baby nipo kwenye siku zangu. Hapo umeshapoteza pesa yako nyingi wasichana nani aliyewaloga akili zenu kwanini usiniambie mda mrefu unakuja unakula msosi wangu napoteza pesa zangu alafu unanambia upo kwenye siku zako, siku zipi sasa Ijuumaa au Jumatano?
Ahahaa.. hiyo kanjanja tu ndio wale wale.Hahana nyinyi Wengi wenu wababaishaji zaidi ya mara moja nimeskia "asimpe au usimpe mapema amchunechune kwanza/mchunechune kwanza" inamaana gani unafikiri.