Wanawake mtatuua

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Unapanga na msichana mkutane hotelini kwenda kupiga mechi ya mchanga, anakwambia hana pesa ya nauli unamtumia nauli, anafika hoteli anaagiza msosi mnakula msosi wa wanguvu. Kidume unatoa pesa kwenda kulipia room mpige mechi, mnaingia mpaka kwa room wewe na mpenzi wako.

Ile unamuandaa ili muanze tukio anakuangalia usoni kwa huruma kama mbuzi wa hitima alafu anakwambia baby nipo kwenye siku zangu. Hapo umeshapoteza pesa yako nyingi wasichana nani aliyewaloga akili zenu kwanini usiniambie mda mrefu unakuja unakula msosi wangu napoteza pesa zangu alafu unanambia upo kwenye siku zako, siku zipi sasa Ijuumaa au Jumatano?
 
We c ulitaka kumvizia? Kakumosha sasa! Siku nyingine umwambie kabisaaa kwamba leo unakwenda kumla!
 
Mwenzio sijui wewe ulishailetaga kimaandishi karibu na haya.
 
Hehehehe tayari mtu kashaliwa jamani hahaha!,we utakua wa kuja tu!,karibu Daslam bwana....mjini ni ujanja ujanja tu hayo mambo ya kuviziana tumeshayaachaga wenzio tumia akili bro,na of coz kila senti anayokula lazima aikojoe tu...!,hahahah pole Sana ndugu!
 
Kwani hamna njia mbadala?!
 
Dah aiseee ulikua Unakula Dent? Tena wa below 16? Dah una hatari aiseeee, umeshamfelisha huyo
 
Unamkomoa kwa kumdai akupe jicho
 
Mbuta mkuu wee utakuwa unakimavi!! Kila post zako ni za kilalamishi tuu kwa wanawake!!!duu!! Pole asee ila inauma lakini!!
Ngoja nikaoge kwenye maji ya ubarikio
 
Kila siku ni siku zao siku hizi... Nasikia wanatembea na rangi za ubuyu... Siku nyingine mwambie akuonjeshe kabla hujaagiza chakula
Kweli mkuu... Manake tushachoka kutiana hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…