wanawake mtatung'oa meno jama!

wanawake mtatung'oa meno jama!

hayo ndio mapenzi ya kweli...huyo anaonekana analijua kosa lake!...bishanga anakula chabo...nimemshtukia..
Hahaha!

Unamachale weye...ni kweli anakula chabo, sijui kamkopa nani jf asee manake hataki kujionyesha kabisa!
 
Hahaha! Una akili sana wewe, hebu mleta mada toa huu uzi upesi kabla bishanga hajakuja, akilia hapa hakuna mtu wa kumbembeleza...

afu huyo mkaka mbona anapigwa lakini kakumbatia?..

SL ukisikia inzi kufia kwenye kidonda si ......., malizia basi..!!
 
SALOK hapa umeniacha stand, nisaidie tafadhali... Nimesahau walah tena!

shem nawe!...umemmis kaka au?mm kazi yangu kuwasaidia kaka zangu...ricky na nitty!
 
khaaa, kwani nani kakwambia niko kwenye wakati mgumu?

aaah owkey tubadilishe basi...wakati huu wa mpito!LOL...shem mm nalala mana kesho somo la kwanza ni mm nasoma!..nakuachia lindo!ila angalia usiku manyang'au ni mengi!
 
Back
Top Bottom