Wanawake mtatumaliza

Wanawake mtatumaliza

Gracious

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
1,889
Reaction score
1,083
Hii inaitwa live stori kutoka pande hizi.

Nilikua na manzi angu mmoja nilikua nae karibu mwaka mzima, nikawa napiga mzigo kama kaidawa yaani. Sasa kumbe huyu mwanamke nilidhani namjua kumbe simjui aisee.

Wakati mwingi nikihitaji kuwa nae tunakua wote akinihitaji vilevile sina hiyana ni toto moja la kinyamwezi limejaaliwa kila idara ati yaani unaweza kushiba hata kwa macho tu mdau.

Sasa mie nikaanza kumweka kwenye plan bana dogo nae kila siku analilia ndoa mi namwambia subiri binti haraka haraka haina baraka. binti analia balaa kudai kwa nini sioneshi nia ya kumuoa.

Lakini kukawa kuna mambo siyaelewi elewi kuhusu huyu binti nikawa najipa muda kuchunguza. Kaniaga anaenda Mwanza alivokuwa mwanza simu kupokelewa ni kwa shida sana mdau. akipokea maneno mawili matatu eti badae tutaongea ndo nipotezee humpati tena.

Kaniaga anaenda Arusha bwana simu haikupatikana wiki moja na nusu. Rafiki yake wa karibu akawa anajileta karibu na mimi, amini usiamini eti anataka kuwa na mimi

Nikamwambia mama wewe si shemeji yangu wewe eti oooh yule hakufai, Kumbe kweli hanifai bana, yule binti alikua ana safari zake nyingi za nje ya nchi China, Malaysia na Dubai tangu mwezi wa kwanza 2014 kasafiri mara zaidi ya 4.

Best kanificha balaa sijui kitu kumbe simu ikiwa haipatikani yuko safarini, binti kumbe ana biashara ambayo mimi siijui na kudanganyia ana maduka ya nguo pale maeneo ya Sinza.

Mbaya zaidi kumbe ni demu wa Mbunge mmoja wa CCM hapa mkoani Dar es Salaam, ndo jeuri yote katoa huko.

Nimempiga chini baada ya kujua haya, lakini wanawake mtatumaliza sasa kama huyu alikua na haja gani ya kulilia ndoa kwangu?
 
Siyo kuwa hiyo ni fitina ya huyo rafiki yake ili akuchukue wewe, chunguza kwanza mkuu
 
Bora ulivyoamua kushusha mikono chini kwa usalama wako, usishindane nao hao, angegundua angeweza hata kukutumia watu wakumwagie tindikali
 
Siyo kuwa hiyo ni fitina ya huyo rafiki yake ili akuchukue wewe, chunguza kwanza mkuu

Mkuu nime prove beyond risonable daut ni kweli chalii yangu....
 
Sioni sababu ya kumpiga chini hata kama humtaki usimuache kaka wanaume wa ukweli huwa hawaachi kiivyo we tumia tu kisela
 
Sasa mnamalizwa kwa kipi mi naona huko ni kusaidiana majukumu...
angekuomba hela ya hizo safari ungeweza?
Kwa mheshmiwa anapata hela kwako anapata dushe
equation inabalance!!!
 
Sasa mnamalizwa kwa kipi mi naona huko ni kusaidiana majukumu...
angekuomba hela ya hizo safari ungeweza?
Kwa mheshmiwa anapata hela kwako anapata dushe
equation inabalance!!!

Duh, na wewe ni mchepuko wa waziri gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom