Wanawake msipofikishwa kileleni mjue kuna mambo yanachangia

Wanawake msipofikishwa kileleni mjue kuna mambo yanachangia

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
238
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa kutoka kwa wanawake kuwa wenzi wao (waume) hawafikishi kileleni.Wengine wamefikia hatua ya kujaribu kuchepuka kuangalia uwezekano wa kufikishwa.

Lakini tafiti zinaonyesha kuwa kuna mambo kadhaa yanaweza kuchangia wana ndoa kutokufikishana ipasavyo. Mfano

  1. Vyakula tunavyokula pia vinachangia tatizo hili.
  2. Mahusiano mabaya ndani ya nyumba. Utakuta ndani ya nyumba hakuna mahusiano mazuri muda wote ni kujibizana hovyo tu hii pia huchangia kuzorotesha penzi.
  3. Uchafu: Hapa nazungumzia uchafu wa mwili. Mtu ukiwa na tabia ya uchafu uchafu unakosa mvuto hata ndani ya ndoa. Na hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa mama anapoongoza kwa uchafu. Mfano kulala bila kuoga licha ya mihangaiko yote ya mchana.
  4. Changamoto nyingine za maisha. Nyumba inapokumbwa na changamoto kama umasikini uliokithiri, magonjwa, case mahakamani, migogogro ya mali nk pia hupunguza concentration ya tendo la ndoa
  5. Kujua mwenzako si mwaminifu na anamahusiano nje ya ndoa. Hii pia hupunguza sham sham za mapenzi
  6. Ulevi wa kupindukia pia hupunguza uwezo.
  7. Matumizi ya vipodozi na madawa ya kuzuia mimba kwa wanawake. Tafiti zinaonyesha kuwa matumizi makubwa ya vitu hivi huwapunguzia wanawake uwezo wa kufika kileleni.
  8. Uzembe / uvivu wakati wa tendo la ndoa. Mara nyingi hii husababisha wanandoa kutokufikishana vizuri
  9. Kuwa na historia ya kutembea na wanawake wengi au wanaume wengi kabla ya ndoa pia yaweza kukusababishia tatizo hili.
 
Pamoja na maelezo yako mazuri mkuu ila kuna wanawake wengine hawafiki kileleni kwasabab za kibailojia hata Uwe fundi vp hatofika kwa maana nyingine ndivyo walivyo kimaumbile.
 
kwa ambao ni maumbile nadhani hapo hakuna tatizo maana hata yeye (mwanamke) hajui na hatakaa ajue kufika kileleni ni kitu gani. Hivyo hapo hapana tatizo lolote. Kwa hiyo sababu ya maumbile naiona kama inapotea-potea na/au inajitenga na sababu zingine katika uzi huu.

Lakini mtoa mada utakubaliana nami kwamba sababu 1 hadi 8 zinaweza tibika, ilala sasa hii ya mwisho, mwathirika afanyeje kujinasua?
 
ulicho andika unakijua mwenyewe halafu kileleni ni kukubali hisia zitawale basi

ningekua najua nisingeandika......... Ko hata kama una hayo maumbile (sijui ni maumbile gani)

hisia zikitawala napo ni basi.........................
 
i think hormones zao za mambo ya uzazi na sex kwaujumla sinakuwa na mapungufu. Madaktari wa mambo ya kike wanauwezo wa kulielezea hili vizuri.

asante umenifungua macho kidogo........

Hata wanaume huweza patwa

na hayo mapungufu au ni wanawake tu.....
 
Hisia ya ngono ndiyo yenye nguvu kuliko zote kwa kuwa ndiyo njia ya kujaza dunia.kwa hiyo scrotal power inaposhuka mambo mengi mwilini yanakuwa yameenda mrama mfumo wa fahamu,mzunguko wa damu,virutubisho na ujenzi wa mwili mfumo wa kinga na mambo kadha wa kadha kwa hiyo si tatizo la kungoja kesho.chukua hatua:llama::llama:
 
michepuko tatizo, upo bize kumbe mwenzako analiwaza CHEPUKO.
 
Pamoja na maelezo yako mazuri mkuu ila kuna wanawake wengine hawafiki kileleni kwasabab za kibailojia hata Uwe fundi vp hatofika kwa maana nyingine ndivyo walivyo kimaumbile.

---hasa wale ambao papuchi zao zimetumika sana hadi zimekuwa sugu...hata usugue mpaka kesho humfikishi...ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
 
asante umenifungua macho kidogo........

Hata wanaume huweza patwa

na hayo mapungufu au ni wanawake tu.....

Ina apply kotekote. Ikitokea kwa mwanaume anaweza kuwa na upungufu wa nguvu za kiume, kutoweza kurutubisha yai la kike ili kutengeneza mimba, ushoga na kadhalika.
 
maumbile yao yanakuwaje "mbaiolojia'

papuchi zinakuwa pana halafu zimejaa maji--mwanaume akiingiza mdudu wake anaelea. hapa hata utwange vipi unakuwa kama unajaza maji kwenye tenga! kwa hali kama hii, huyo mwanamke atafikaje kileleni? kilele husababishwa na friction kati ya 'kichwa' na kuta za papuchi---no friction, no orgasm!
 
  • Thanks
Reactions: 7ve

Aise kumbe wenye bahari wengi hawafikii kwenye kilele cha mlima kilimajaro ndo nimefahamu loh!
 
papuchi zinakuwa pana halafu zimejaa maji--mwanaume akiingiza mdudu wake anaelea. hapa hata utwange vipi unakuwa kama unajaza maji kwenye tenga! kwa hali kama hii, huyo mwanamke atafikaje kileleni? kilele husababishwa na friction kati ya 'kichwa' na kuta za papuchi---no friction, no orgasm!

mmh confusion... ila una maneno makali....
 
mmmhhh kuna point naiona hapo kwenye changamoto za maisha migogoro kesi
 
papuchi zinakuwa pana halafu zimejaa maji--mwanaume akiingiza mdudu wake anaelea. hapa hata utwange vipi unakuwa kama unajaza maji kwenye tenga! kwa hali kama hii, huyo mwanamke atafikaje kileleni? kilele husababishwa na friction kati ya 'kichwa' na kuta za papuchi---no friction, no orgasm!

duuuu kujaza maji kwenye tenga? mkuu uteuzi wa lugha tafadhali lugha uliyoitumia ni kali sana
 
Back
Top Bottom