Wanawake, msing'ang'anie wanaume ambao hawawataki

Wanawake, msing'ang'anie wanaume ambao hawawataki

Nakama kuna tabia ya kipuuzi hawa dada zetu wanayo ni kumpenda mtu asiye mpenda ving'ang'anizi htr unakuta mwanamke anakupenda miaka 6,anajua una mpenzi anakupenda anajua huna anakupenda amesikia umeoa anakupenda yaan mtu una mgonga tokea ana miaka 16 hadi ww umeoa na watoto ila ukipata mda ukamuita anakuja unamgonga yaan so cheap..
 
Kweli, wanajishusha thamani wenyewe
 
Hivi mwanamke unaanzaje kumng'ang'ania mwanaume jamani?
Ni kutokujiamini.
Jiamini, songa mbele.
Unapong'ang'ania unadharaulika,yupo anayetaka kukufanya malkia.
Songa mbele...
 
Kuna aina mbili za usaliti,
Kuna ambao ni wasiri na ambao sio wasiri
Sasa kwa ambao sio wasiri ndio ambao wake zao wanaimba Mungu fanya miujiza,
Mwanume shupavu ni yule ambaye anafanya usaliti lakini akitambua mke wake ndio nambari one
Maana yake kujitambua, uko sawa ndugu.
 
Mwanamke hawezi kung'ang'ania sehemu ambayo haina maslahi. Je ipi bora kusalitiwa na mahurrier unanunuliwa au kwenda kwa maskin na kuvumilia usafir wa pikipiki+upepo maisha hayaeleweki
 
Hivi mwanamke unaanzaje kumng'ang'ania mwanaume jamani?
Ni kutokujiamini.
Jiamini, songa mbele.
Unapong'ang'ania unadharaulika,yupo anayetaka kukufanya malkia.
Songa mbele...
Tatizo hamjui mnachokitaka ndomana
 
Back
Top Bottom