Wanawake msikurupuke kutukana watu wakipiga simu

Ohoooo okay sorry sikuwa nimeelewa mwanzoni. Hapo alifanya makosa. Msamehe bure. Inaonekana hajiamini ndani ya ndoa yake
 
Ohoooo okay sorry sikuwa nimeelewa mwanzoni. Hapo alifanya makosa. Msamehe bure. Inaonekana hajiamini ndani ya ndoa yake
its okay, yule mwanamke nimemsamehe nakumuonea huruma juu,manake anaonyesha wazi kua amekalia kuti kavu kuanguka si ajabu.
 
sipati picha siku hiyo ulikuaje.
 
Duh! Pole Ila Na Wewe Usamaria Umezd Kipimo

Umeona eeh.!! Yani upele unapewa aso kucha kweli, minadhani hata mumewe anamuona zuzu ulipo mweleza Manake yani natamani niwe mm...
 
Wanawake wengine akili zao mbovu Sana , wanahitaji kupewa fundisho ili wajue good manners.
 
Wanawake wengine akili zao mbovu Sana , wanahitaji kupewa fundisho ili wajue good manners.
Huyu nilimuonea huruma sana,nilihisi hajiamini mpaka amechanganyikiwa,its not normal mtu anapokea simu hata salam hutoi unaanza kutukana yani jee angekua mamake mzazi au mkwewe?
 
Mie mbona ningezichukua, ananitukana Kwa wema Wangu kisa chake?
Mkuu nyuki sikuzote huponzwa na asali yake,na watu kama hawa hua nawaonea huruma sababu unagombana na mtu hata kesho akipita hapo humjui sasa mie na ignore,as long as niko mzima kwa mwenyezi mungu lipo fungu langu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…