NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
Habari zenu wanna MMU,
Jana mchana nilikwenda shopping kununua vitu vidogo, wakati niko kwenye car park nikaona mfuko nakini ulikua wazi na ndani kuna simu, wallet cheque ambayo imesha sainiwa na karatasi nyengine. Nikazichukua kufika nyumbani nikasema nitaangalia ili nimpigie mwenyewe, nikajisahau mpaka saa 12 jioni ndio nikakumbuka nikasema wacha niangalie kama kuna number naweza kuipata manake simu ilikua off, sikupata number option nilokua nayo nikuweka simu kwenye charge.
Haya nikaiweka nikaendelea na homework za watoto narudi kuangalia simu naona sms na missed call kibao kwenye screen simu imefungwa na Passward. Nikasema wacha nisubiri atapiga ili nipokee kweli hata 5min bado kapiga mtu nikapokea ile kusema hallow yanianza matusi kupitiliza mwanamke anatukana utadhani hana hana wazazi nikamuacha achambe alipo maliza ananambia changudoa mwenzio.
Ananizingua mimi eti simu na pesa ametupa anadhani mimi sasa kwa taarifa yako mimi nimeathirika na wewe pia umeathirika usione hela anazokupa ukajua mzima anavirusi akanikatia simu niliacha uchungu nilipo sikia huko kuathirika.
Baada ya kama mda wa 30min akapiga jamaa nikapokea akaniomba msamaha nikamwambia aje asubuhi kazini kuchukua mzigo wake na kweli amefika nikampa ameomba msamaha sana, nikajiuliza ivi wanawake wengine wanakua sababu ni shule ndogo au tabia za ajabu wanatoka nazo makwao yani yule mwanamke ni wale kigodoro type.