Wanawake msikubali kubinafsishwa jamani!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Waleee walee wale wabaya waleee wale walee awatupendi waleeeeee watajijua wenyewe waleeeeee
najua utaniimbia huu wimbo mie aku ujumbe umefika kuelekea jumapili
mwaya kuna mabinti wamekuwa raisi sana yaani wamekutana na wanaume kidogo tu gafla umehama
umemebebea mfuko wa rambo unahamia kwa mwanaume lohhhhhhhhhhhhhhhh

wale wale wale wabaya waleeeeeeeeeee...nasema ukweli siasa sijui mdomo nimepewewa mkono mashallah
nasema jamani wanaume watawadharau msikubali kujirahisisha hata kama anakupenda mwambie nenda kwa wazazi fwata procedure mhalalishwe

walahi nasema na najua utanibadilishia wimbo wa taarabu na ndio maana sufuria ina kifuniko jitahdi rafiki wako wa karibu awe mungu wako kukuongoza kama huyu mwenzio ama walewaleeeeeeeeee

mie nawapenda ndio maana naasema hivo hakuna nguvu kubwa kama mkikutana wote manmjua mungu mnakuwa na amani kwenye ndoa yenu lakini hili la kupelekwa na bajaji sinza gafla unapigwa makofi ushazalishwa watoto watatu unarudi kwa nani weyye akupokee ulienda kama nani

jiulize kwanza usikimbilie kwasababu umesikia kuhamia na wewe unahamia amia na procedure
 
Akuna mipasho mwaya mi mume wamtu hiyo kazi yangu kulinda familia nina mke na mtoto na mtoto mtarajiwa nikampashe nani uzee huu mpwa ndio maana niaksema sufuria ndioomaana ina kifuniko yaani watakuja watakaofikiria yao kumbe la hasha mwenzio mkono nina tbs hata usemeje mi nakutakia heri kama ujaoa basi jiandae kuishi na mwenzako si kitoto lingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom