Wanawake msikengeuke kisa eti mmefika chuoni ama una Degree

Tatizo la mwanaume ambaye hajasoma ni inferiority complex....yani hapo tu....hawajiamini,walalamishi,wana gubu si kidogo

ndio ukweli kuna siku anaweza kusema leo usiende kazin ukienda utahamia huko kwa bosi wako ilimradi tu aonekan ana sauti kuwa basi na sauti vitu vya maana
 
Chuo kuna kozi nyingi but sina uhakika kama kuna kozi inayofundisha watu Kuwa wife/husband material
 
Kwa hisani ya watu wa jamhuri ya muungano wa tz napenda kuwapa pole wote ambao ndoa zao au mahusiano yao yameunganisha na vigezo vingine kama fedha,elimu nk badala ya Upendo wa dhati,I can see Tsunami ahead!
 
 
Last edited by a moderator:
ndio ukweli kuna siku anaweza kusema leo usiende kazin ukienda utahamia huko kwa bosi wako ilimradi tu aonekan ana sauti kuwa basi na sauti vitu vya maana

Kweli kabisa aisee kuna wengine sie wakorofi ina nature ukikutana na std 7 au form 4 utajuuta
 

Aisee umeongea bonge la point
 
huu ni mchango kwa mada hii?ama ni ushauri tu nje ya mada?
 
Last edited by a moderator:
Sasa km huyo shigongo ni kilaza, mbona amepiga mkwanja kuliko huyo wife mwenye Master..... wakati mwingine haya mashule ya darasani tunaringia bure tu.

kumbe ukilaza ni unapimwa kwa kutafuta hela?ama darasani kwa kipimo chepesi na kilichozoeleka
 

Loading...........
 

inawezekana hujaelewa, nimeshauri wasichana wasiwaache wenzi wao kisa wanaonekana wanekwama jwenye elimu na kinachowapa kiburi mademu ni hicho kidgree ama kwenda chuo. shigongo alimpata mke wake akiwa hana degree na shigongo akiwa siyo tajiri way back in 1992 na hata msichana akiposoma na kuingia chuo hakukengeuka na mafanikio ya shigongo yule mwanamke ndo kasaidia sana. kukengeuka huku si hoja, just fight for life
 
Naona una niuliza Mara 20 au kama vipi nifute hip comment! Ndo mchango wangu huo kama huutaki sema futaa nafuta
nilitaka kujua kabla sijasema lolote maana naona kama haukuendana na mada ila kwa kuwa ni ushauri halijaharibika jambo kuna walioupokea na watakoendelea kuusoma.
 

Yeerr imekaa njema hii mtanisamehe mequote yote hii ila huyu ndugy yetu hapa kaongea ukweli mtupu japokuwa wanaume watadis tu najua hawapendi kutuona tunaendelea go go go lara
 
Last edited by a moderator:
naheshimu hisia zako, huu mfano ulikuwa sahihi na bado ni sahihi kwa mada hii. Shigongo alikutana na mkewe wakiwa wote masikini na mke wake akiwa hata degree moja hana mwaka 1992,

hata baada ya mke wake kupata elimu zaidi bado hakumuacha shigongo, na kwa taarifa yako ni kwamba mwanamke kwao ni mambo safi na hata shigongo alisema Mungu tu ndio atakuwa aliwaleta pamoja maana hakukuwa na ulingano wowote wa kipato katika familia zao maana shigongo alitokea familia masikini na demu familia tajiri but still walipendana na hata baada ya demu kwenda chuo, na hata mpaka degree hakuwahi kukengeuka.

NA MIMI NDIO ULIKUWA USHAURI WANGU KUWA KAMA NI MAENDELEO WAYAPIGANIE TU YATAKUJA KAMA YALIVYOKUJA KWA SHIGONGO, na mke wake ndio mwezeshaji mkuu kwa shigongo mpaka hapo alipofikia.
 
Degree kitu gani unaweza kuta mtu hajasoma ila ana uelewa mpana wa maisha binafsi siangalii kigezo cha kua una degree au ushuzi nachotizama unafaa kua mume???? Kwenda darasani si kuelemika waweza soma.madarasa yote still bichwa likawa empty!!!!

Mwisho wako wa kufikiri umeishia hapo bila shaka.
 
Yeerr imekaa njema hii mtanisamehe mequote yote hii ila huyu ndugy yetu hapa kaongea ukweli mtupu japokuwa wanaume watadis tu najua hawapendi kutuona tunaendelea go go go lara
aaaaaaaaaaaaaah wapi, tunapenda sana muendeleeeeeeeeeeeeeeee, ila tabu yenu mukishaendele munakengeuka muno wakati mshapendana toka mwanzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…