ni kweli mkuu,ila mi nilivyomuelewa na jinsi amabyo huwa napendellea ni kwamba we kata kadri uwezavyo ila uwe unaenda na step tu,sio mimi napanda juu wewe unashuka chini,hapo unakuwa unanipotezaz,hata wazungu aidha hawatatoka wote au watatoka muda ambao hawakutakiwa kutoka