Kuna mmoja nilikutana nae alikuwa anakata viuno kama fuso lililokata centre bolt yaani upande upande tuu kesho yake upande mmoja wa mwili uliniuma nikawa kama nimepata kiharusi cha kuanguka chooni.
Wachà watukatie maisha yenyewe mafupi tunakufa mapema,tunakoenda hatujui kama kunakutatiwa viuno,nawaomba wadada waendele hivyo hivyo hadi siku ya hukumu