Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,068
Kweli kabisaaa, haswaaa ukiwauliza MANESI ORIGINELO WA ENZI ZA MKOLONI!!!!!!! Hata ukienda hospital utasikia MTOTO KAZALIWA MCHAFU KWELI, SHENZY ZAO!!!! Hapo hawasemei UTANDO MWEUPE ule kila mtoto anaozaliwa nao, sababu ni jambo la kawaida, ila kuna Uchafu wa Shahawa ndo wanaosema wao. Ole wako mkeo azalie Amana, Temeke, Sinza, Mwananyamala afu Awe alikuwa anatoa TIGO au Mtoto Mchafu ATACHAMBWA HADI AZIMIE!!!!! Bora ukijua hayo uwahi Regency au Aghakani.
dada sikia, kabla mama hajazaa anapimwa njia. Hivyo kama ni uchafu utatoka na gloves za mpimaji. Aafu chupa ikipasuka, yale yanakuwaga warm liquor ambayo husafisha k yako. Ukisikia mtoto kazaliwa mchafu ujue kacheleweshwa ko kajinyea sana mle ndani hivyo amniotic fluid yote imekuwa chafu. Hayo mambo ya kugawa tigo siku hizi si mmeyaweka ya kawaida! Huwa inakera kwa kujinyea hovyo within few minutes. Kawaida ukiona mama kajinyea ujue na mtoto ndo anatoka, ndo maana mav.i huitwa first twin! Kuzaa kuna kazi mdogo angu.