Wanawake msibomoe ndoa/nyumba zenu kwa style hii!

Nyie mnaofanya hadi SIKU YA LABOUR, msisahahu KUTUMIA CONDOMS manake MTOTO ATAZALIWA MCHAFU KAJAA SHAHAWA MWILI MZIMA,!!!!!!!! Wageni wakija hospitali WATAGOMA KUMSHIKA ATII. Alafu kwa wazee na watuwazima ni AIBU KUBWA hiyoooo. SAWA FANYENI ILA MKINGENI MTOTO NA UCHAFU WENU LOOOOOOH!

siyo kweli mrembo lara 1!!!!!!
 
Si kweli. Huo utando mweupe unaitwa vernix. Inasaidia kumoisturize na kulinda ngozi ya mtoto akiwa tumboni, na inasaidia kuteleza wakati wa kuzaliwa. Hakuna kitu kinachoweza kupenya kwa mtoto sababu uterus imefungwa na mucus plus, PLUS mtoto yuko kwenye fuko lake..safe and sound.

Tendo la ndoa is the mutual agreement kati ya watu wawili ,kimsingi mwanamke akiwa na ujauzito kuna mabadiliko mbalimbali ya mwili kama vile kisaikolojia ,kifisiolojia ,kifizikia n.k!
Kwa mwanaume anapata mabadiliko ya kisaikolojia tu.
1.kama wote wanakubaliana ni ruksa kufanya mapenzi mpaka hata siku mwanamke anaenda labour.
2.baada ya kujifungua ,40 ikiisha kama wanakubaliana ni ruksa kufanya.
 
Hivi kweli kina baba mimba mnaona rahisi sana kubeba? Mnafikiri kumejaa hewa humo ndani?
Binafsi nimetoka kujifungua wiki 10 zilizopita na bado sija recover fully ukizingatia mtoto alikuwa size ya wastani, na labour haikuwa ndefu sana.

Imagine unaombwa chakula cha usiku halafu una conditions hizi:
-miguu imevimba
-ingawa unaenda haja ndogo kila dakika 30 unasikia kama vile 90% ya kibofu bado kimejee WITH NO RELIEF WHATSOEVER
-unasikia kama vile kichwa cha mtoto kimeegemea kibofu
-mwili wote unauma huwezi kulalia mgongo wala ubavu, unaona nafuu ukikaa wima kwenye kochi angalau uweze kupata kausingizi

Kumbuka kwamba viungo vyako vyote vinasukumizwa kuenda juu na kubanana ili kuachia nafasi mimba ikue, kwahiyo kupumua nako ni shida. Hii ni list ya vitu kadhaa nilivoexperience, lakini najua wengine wanakuwaga na kichefuchefu na dalili zingine pia. Sasa niambie, hiyo hamu, au hata tuseme uwezo wa kufanya tendo la ndoa itatoka wapi??

Sasa, baada ya kujifungua, kumbuka hata mtoto akitoka njia ya kawaida lazima pachanike. Degree ya kuchanika inaanza from 1st to 4th degree. Mimi nilipata 1st degree (thank goodness!) ambayo haikuhitaji kushonwa. 2nd degree mpaka 4th lazima kushonwa. Kukupa mfano, 3-4th degree unaweza ukachanika kuanzia kwenye vagina mpaka nyuma (rectum). IMAGINE THAT! If you want to have nightmares, simply search "vaginal tearing" kwenye google images. You will want to hug your mother and apologize over and over.

One more thing, wengine inabidi wafanyiwe episiotomy ambayo ni wakati daktari anakata njia ya uzazi ili kupanua njia ya mtoto kupita na kuzuia kuchanika vibaya. Kumbuka wengine wakishonwa vibaya hili huleta tatizo pia.

Ukija kwenye upasuaji, do I even have to explain? Hicho ni kidonda. Mpaka kije kupona itachukua miezi.

Kama unavyoona, kutunga mimba ni raha, kuzaa ni shida, na kulea ni kazi nyingine zaidi. Hakuna muda muafaka wa kuacha kufanya mapenzi, yote inategemea na mama watoto. Kama hajisikii au hawezi, heshimu hilo na enjoy your time together alone (kama ni mtoto wa kwanza) because you will never have this precious time together every again.

Kuanza tena kufanya mapenzi inategemeana, lakini usitegemee kupata kitu baada ya siku chache. Tunakuwa tumechoka mentally na physically tunakuwa tunarecover.

My advice, take care of her so she can take care of your baby and eventually take very good care of you. Maisha ya ndoa si mchezo and not all about sex!!!!!

Dada mm ni baba wa mtoto 1, ukweli nawaheshim sana wanawake hadi hivi nazungumza sija fikiria kupata mtoto ingawaje mwanangu ana 7yrs, namuonea huruma sana mkewangu,hasa nilipo mpeleka hspl nikaambiwa sasa waweza kwenda naalikaa huko saa 10,ukweli sikuweza hata kula wala kulala.siwezisema yote.
 
Hii ni serious topic na kwa kweli wanume wanatakiwa wawe makini sana kwenye eneo hili.
Speaking from experiece, ku do au not ku do na mke inategemea na mood na situation ya mke wakati wa ujauzito. kwa upande wangu niliafford ku do up to almost 34 wks of pregnance na nilijifungua wk ya 37 kwa operation. nina rafiki yangu yeye huwa watoto wote ana do mpk siku ya kwenda kujifungua.. daa huwa ninamu admire sana maana si mchezo.

Ok kuhusu ukisha jifungua, kwa kweli huo huwa ni wakati mgumu sana kwetu jamani mtusamehe tu kwa kweli kina baba na muwe wa vumilivu. Mimi niliambiwa na wakubwa wangu mashangazi na wengine kua nikae 3 months, ila kwakweli haikuniingia mimi mwenyewe..
nilianza very slowly hahahahaha after two months tena haikufika nadhani ilikua after six weeks ila dr alinambia niwe care full course kupata nyingine ingekua rahisi sana!!

ok hiyo ni kwangu, but it depends now kwa kila mmoja na maumbile yake.

Naweza kusema healing ya kidonda kwangu haikua issue na nnamshukuru Mungu course nakumbuka after 2 wks za operation niliweza kuendesha gari kama kawaida maana mtoto alipata infection ya kitovu so sikua na jinsi bali ku drive back and forth for a wk, and ofcourse GNLD Products zilinisaidia sana hata mpk sasa sina matatizo ya mshono hata kidogo si kipindi cha baridi wala joto.

So yote kwa yote it depends na mtu na maumbile yake wengine wanakuwa na bleeding ya muda mrefu na mambo kama hayo. So wanaume wanatakiwa wawe wavumilivu sana kipindi hiki kwani hata mimi naamini ndoa sio sex tu ni combinationa ya mambo mengi.
 
Si kweli. Huo utando mweupe unaitwa vernix. Inasaidia kumoisturize na kulinda ngozi ya mtoto akiwa tumboni, na inasaidia kuteleza wakati wa kuzaliwa. Hakuna kitu kinachoweza kupenya kwa mtoto sababu uterus imefungwa na mucus plus, PLUS mtoto yuko kwenye fuko lake..safe and sound.

Sisemei UTANDO ambao kila mtoto anazaliwa nao!! NASEMEA SHAHAWA ambazo hazitoki coz huendi mwezini, zinakuwa ndani ya ukuta wa uzazi, na mtoto akitoka zinamnatianatia na manesi wana sitiri jahazi kwa kuwahi KUMUOGESHA haswaa pale REGENCY manake wazazi wa pale ni nomaaaa!. Mimi nikienda kuangalia mtoto lazima nikague kama Kaogeshwa au kafutwa!!!!!!! Kama kogeshwa Baaaaaaass!!!
 
siyo kweli mrembo lara 1!!!!!!

Kweli kabisaaa, haswaaa ukiwauliza MANESI ORIGINELO WA ENZI ZA MKOLONI!!!!!!! Hata ukienda hospital utasikia MTOTO KAZALIWA MCHAFU KWELI, SHENZY ZAO!!!! Hapo hawasemei UTANDO MWEUPE ule kila mtoto anaozaliwa nao, sababu ni jambo la kawaida, ila kuna Uchafu wa Shahawa ndo wanaosema wao. Ole wako mkeo azalie Amana, Temeke, Sinza, Mwananyamala afu Awe alikuwa anatoa TIGO au Mtoto Mchafu ATACHAMBWA HADI AZIMIE!!!!! Bora ukijua hayo uwahi Regency au Aghakani.
 
Hizi habari ni noma,mm nasikizia mchangie mkimaliza mm naja kufunga kabisa
 
........asante mleta uzi....ninavyozidi kusoma michango ya wengine ndo naona nani wanaume nani wakiume......
 
Kweli kabisaaa, haswaaa ukiwauliza MANESI ORIGINELO WA ENZI ZA MKOLONI!!!!!!! Hata ukienda hospital utasikia MTOTO KAZALIWA MCHAFU KWELI, SHENZY ZAO!!!! Hapo hawasemei UTANDO MWEUPE ule kila mtoto anaozaliwa nao, sababu ni jambo la kawaida, ila kuna Uchafu wa Shahawa ndo wanaosema wao. Ole wako mkeo azalie Amana, Temeke, Sinza, Mwananyamala afu Awe alikuwa anatoa TIGO au Mtoto Mchafu ATACHAMBWA HADI AZIMIE!!!!! Bora ukijua hayo uwahi Regency au Aghakani.
hiyo kitu haipo wewe lara ,shahawa hazinauhusiano wowote na mtoto kuchafuka .hayo ni mambo ya uswahilini tu ,kama vile ishu ya kuacha kumnyonyesha mtoto kisa kumbemenda mtoto mtokeo yake mtoto anakuwa malnourished.
 
Hivi kweli kina baba mimba mnaona rahisi sana kubeba? Mnafikiri kumejaa hewa humo ndani?
Binafsi nimetoka kujifungua wiki 10 zilizopita na bado sija recover fully ukizingatia mtoto alikuwa size ya wastani, na labour haikuwa ndefu sana.

Imagine unaombwa chakula cha usiku halafu una conditions hizi:
-miguu imevimba
-ingawa unaenda haja ndogo kila dakika 30 unasikia kama vile 90% ya kibofu bado kimejee WITH NO RELIEF WHATSOEVER
-unasikia kama vile kichwa cha mtoto kimeegemea kibofu
-mwili wote unauma huwezi kulalia mgongo wala ubavu, unaona nafuu ukikaa wima kwenye kochi angalau uweze kupata kausingizi

Kumbuka kwamba viungo vyako vyote vinasukumizwa kuenda juu na kubanana ili kuachia nafasi mimba ikue, kwahiyo kupumua nako ni shida. Hii ni list ya vitu kadhaa nilivoexperience, lakini najua wengine wanakuwaga na kichefuchefu na dalili zingine pia. Sasa niambie, hiyo hamu, au hata tuseme uwezo wa kufanya tendo la ndoa itatoka wapi??

Sasa, baada ya kujifungua, kumbuka hata mtoto akitoka njia ya kawaida lazima pachanike. Degree ya kuchanika inaanza from 1st to 4th degree. Mimi nilipata 1st degree (thank goodness!) ambayo haikuhitaji kushonwa. 2nd degree mpaka 4th lazima kushonwa. Kukupa mfano, 3-4th degree unaweza ukachanika kuanzia kwenye vagina mpaka nyuma (rectum). IMAGINE THAT! If you want to have nightmares, simply search "vaginal tearing" kwenye google images. You will want to hug your mother and apologize over and over.

One more thing, wengine inabidi wafanyiwe episiotomy ambayo ni wakati daktari anakata njia ya uzazi ili kupanua njia ya mtoto kupita na kuzuia kuchanika vibaya. Kumbuka wengine wakishonwa vibaya hili huleta tatizo pia.

Ukija kwenye upasuaji, do I even have to explain? Hicho ni kidonda. Mpaka kije kupona itachukua miezi.

Kama unavyoona, kutunga mimba ni raha, kuzaa ni shida, na kulea ni kazi nyingine zaidi. Hakuna muda muafaka wa kuacha kufanya mapenzi, yote inategemea na mama watoto. Kama hajisikii au hawezi, heshimu hilo na enjoy your time together alone (kama ni mtoto wa kwanza) because you will never have this precious time together every again.

Kuanza tena kufanya mapenzi inategemeana, lakini usitegemee kupata kitu baada ya siku chache. Tunakuwa tumechoka mentally na physically tunakuwa tunarecover.

My advice, take care of her so she can take care of your baby and eventually take very good care of you. Maisha ya ndoa si mchezo and not all about sex!!!!!

nataman sn cku 1 mungu mungu afanye wanawake kuwa 2we wanaume & vs. Wangejua ugumu wakubeba mimba na kujfungua.. Wengne hata km mkewe anaumwa sn ye anataka shenZ*.
 
Nyie mnaofanya hadi SIKU YA LABOUR, msisahahu KUTUMIA CONDOMS manake MTOTO ATAZALIWA MCHAFU KAJAA SHAHAWA MWILI MZIMA,!!!!!!!! Wageni wakija hospitali WATAGOMA KUMSHIKA ATII. Alafu kwa wazee na watuwazima ni AIBU KUBWA hiyoooo. SAWA FANYENI ILA MKINGENI MTOTO NA UCHAFU WENU LOOOOOOH!
lara inaonyesha haujazaa.sex no sex,mtoto akizaliwa uchafu unakuwepo tu,na akisafishwa mtoto anakuwa msafi kabisa.hao wageni wakichunguza hayo,wana lao jambo
 
kila mtu na hormones zake jamani.wengine wakiwa waja wazito,kila siku wanataka mchezo,wengine wanachukia.kama u muelewa kwa parter wako,inabidi uwe msikivu na mvumilivu.
 
Hivi kweli kina baba mimba mnaona rahisi sana kubeba? Mnafikiri kumejaa hewa humo ndani?
Binafsi nimetoka kujifungua wiki 10 zilizopita na bado sija recover fully ukizingatia mtoto alikuwa size ya wastani, na labour haikuwa ndefu sana.

Imagine unaombwa chakula cha usiku halafu una conditions hizi:
-miguu imevimba
-ingawa unaenda haja ndogo kila dakika 30 unasikia kama vile 90% ya kibofu bado kimejee WITH NO RELIEF WHATSOEVER
-unasikia kama vile kichwa cha mtoto kimeegemea kibofu
-mwili wote unauma huwezi kulalia mgongo wala ubavu, unaona nafuu ukikaa wima kwenye kochi angalau uweze kupata kausingizi

Kumbuka kwamba viungo vyako vyote vinasukumizwa kuenda juu na kubanana ili kuachia nafasi mimba ikue, kwahiyo kupumua nako ni shida. Hii ni list ya vitu kadhaa nilivoexperience, lakini najua wengine wanakuwaga na kichefuchefu na dalili zingine pia. Sasa niambie, hiyo hamu, au hata tuseme uwezo wa kufanya tendo la ndoa itatoka wapi??

Sasa, baada ya kujifungua, kumbuka hata mtoto akitoka njia ya kawaida lazima pachanike. Degree ya kuchanika inaanza from 1st to 4th degree. Mimi nilipata 1st degree (thank goodness!) ambayo haikuhitaji kushonwa. 2nd degree mpaka 4th lazima kushonwa. Kukupa mfano, 3-4th degree unaweza ukachanika kuanzia kwenye vagina mpaka nyuma (rectum). IMAGINE THAT! If you want to have nightmares, simply search "vaginal tearing" kwenye google images. You will want to hug your mother and apologize over and over.

One more thing, wengine inabidi wafanyiwe episiotomy ambayo ni wakati daktari anakata njia ya uzazi ili kupanua njia ya mtoto kupita na kuzuia kuchanika vibaya. Kumbuka wengine wakishonwa vibaya hili huleta tatizo pia.

Ukija kwenye upasuaji, do I even have to explain? Hicho ni kidonda. Mpaka kije kupona itachukua miezi.

Kama unavyoona, kutunga mimba ni raha, kuzaa ni shida, na kulea ni kazi nyingine zaidi. Hakuna muda muafaka wa kuacha kufanya mapenzi, yote inategemea na mama watoto. Kama hajisikii au hawezi, heshimu hilo na enjoy your time together alone (kama ni mtoto wa kwanza) because you will never have this precious time together every again.

Kuanza tena kufanya mapenzi inategemeana, lakini usitegemee kupata kitu baada ya siku chache. Tunakuwa tumechoka mentally na physically tunakuwa tunarecover.

My advice, take care of her so she can take care of your baby and eventually take very good care of you. Maisha ya ndoa si mchezo and not all about sex!!!!!

HONEYBEE je ni kweli upasuaji wa 2degree hadi 4degree unasababishwa na matumizi ya vipodozi?
 
Hapana, haiwezekani shahawa zirundikane ukeni sababu hauendi mwezini. Kama nilivosema, hiyo ni vernix na inaonesha jinsi manesi walivyo na elimu duni. Mtoto wangu sikumzalia TZ kwahiyo system ni tofauti kidogo. Kitu cha kwanza wanakupa ukae nae apate joto la mwili wako, yaani skin to skin contact. Hawamuongeshi immediately. In fact mtoto alizaliwa saa 8 usiku, hawakumuogesha mpaka saa 6 mchana. Walimfuta vernix kidogo na kumkabidhi baba akae na kifua wazi apate joto huku mimi nikiendelea kukaguliwa kama nimechanika, na pia kumalizia kudeliver mfuko wa uzazi.

Hao manesi lakini noma! You would think they would have more sympathy for fellow women. Tena kina mama wengine hutokwa na haja kubwa wakati wa kujifungua ambayo pia ni kawaida. Au ndio manesi wanafikiri hii ni sababu ya tigo?? Ahhh , bongo health care.

Sisemei UTANDO ambao kila mtoto anazaliwa nao!! NASEMEA SHAHAWA ambazo hazitoki coz huendi mwezini, zinakuwa ndani ya ukuta wa uzazi, na mtoto akitoka zinamnatianatia na manesi wana sitiri jahazi kwa kuwahi KUMUOGESHA haswaa pale REGENCY manake wazazi wa pale ni nomaaaa!. Mimi nikienda kuangalia mtoto lazima nikague kama Kaogeshwa au kafutwa!!!!!!! Kama kogeshwa Baaaaaaass!!!
 
Hi Tetra, hiyo sijawahi kusikia na sidhani kama kuna correlation kati ya matumizi ya vipodozi na kupasuka wakati wa kujifungua. Vipodozi vya aina gani unaongelea? Mkorogo? Best wangu alipata 2nd degree tear lakini si mtu wa vipodozi. Kuchanika ni kawaida, inategemeana na size ya mtoto na jinsi anayotoka pia. Akitoka kwa kasi sana, au akitoka in breech position, yaani miguu au makalio first, then patachanika.

HONEYBEE je ni kweli upasuaji wa 2degree hadi 4degree unasababishwa na matumizi ya vipodozi?
 
Yaani we acha tu. Kabla ya kujifungua nilikuwa nasema ningependa watoto wanne. Sahivi najua I will be happy with just 2. Na mume wangu alikuwepo wakati najifungua kwahiyo alishuhudia kila kitu na ananielewa kabisa!

Dada mm ni baba wa mtoto 1, ukweli nawaheshim sana wanawake hadi hivi nazungumza sija fikiria kupata mtoto ingawaje mwanangu ana 7yrs, namuonea huruma sana mkewangu,hasa nilipo mpeleka hspl nikaambiwa sasa waweza kwenda naalikaa huko saa 10,ukweli sikuweza hata kula wala kulala.siwezisema yote.
 
Dada mm ni baba wa mtoto 1, ukweli nawaheshim sana wanawake hadi hivi nazungumza sija fikiria kupata mtoto ingawaje mwanangu ana 7yrs, namuonea huruma sana mkewangu,hasa nilipo mpeleka hspl nikaambiwa sasa waweza kwenda naalikaa huko saa 10,ukweli sikuweza hata kula wala kulala.siwezisema yote.

hongera wanaume wote wangekua km wewe ingekua afadhali.
 
Hivi kweli kina baba mimba mnaona rahisi sana kubeba? Mnafikiri kumejaa hewa humo ndani?
Binafsi nimetoka kujifungua wiki 10 zilizopita na bado sija recover fully ukizingatia mtoto alikuwa size ya wastani, na labour haikuwa ndefu sana.

Imagine unaombwa chakula cha usiku halafu una conditions hizi:
-miguu imevimba
-ingawa unaenda haja ndogo kila dakika 30 unasikia kama vile 90% ya kibofu bado kimejee WITH NO RELIEF WHATSOEVER
-unasikia kama vile kichwa cha mtoto kimeegemea kibofu
-mwili wote unauma huwezi kulalia mgongo wala ubavu, unaona nafuu ukikaa wima kwenye kochi angalau uweze kupata kausingizi

Kumbuka kwamba viungo vyako vyote vinasukumizwa kuenda juu na kubanana ili kuachia nafasi mimba ikue, kwahiyo kupumua nako ni shida. Hii ni list ya vitu kadhaa nilivoexperience, lakini najua wengine wanakuwaga na kichefuchefu na dalili zingine pia. Sasa niambie, hiyo hamu, au hata tuseme uwezo wa kufanya tendo la ndoa itatoka wapi??

Sasa, baada ya kujifungua, kumbuka hata mtoto akitoka njia ya kawaida lazima pachanike. Degree ya kuchanika inaanza from 1st to 4th degree. Mimi nilipata 1st degree (thank goodness!) ambayo haikuhitaji kushonwa. 2nd degree mpaka 4th lazima kushonwa. Kukupa mfano, 3-4th degree unaweza ukachanika kuanzia kwenye vagina mpaka nyuma (rectum). IMAGINE THAT! If you want to have nightmares, simply search "vaginal tearing" kwenye google images. You will want to hug your mother and apologize over and over.

One more thing, wengine inabidi wafanyiwe episiotomy ambayo ni wakati daktari anakata njia ya uzazi ili kupanua njia ya mtoto kupita na kuzuia kuchanika vibaya. Kumbuka wengine wakishonwa vibaya hili huleta tatizo pia.

Ukija kwenye upasuaji, do I even have to explain? Hicho ni kidonda. Mpaka kije kupona itachukua miezi.

Kama unavyoona, kutunga mimba ni raha, kuzaa ni shida, na kulea ni kazi nyingine zaidi. Hakuna muda muafaka wa kuacha kufanya mapenzi, yote inategemea na mama watoto. Kama hajisikii au hawezi, heshimu hilo na enjoy your time together alone (kama ni mtoto wa kwanza) because you will never have this precious time together every again.

Kuanza tena kufanya mapenzi inategemeana, lakini usitegemee kupata kitu baada ya siku chache. Tunakuwa tumechoka mentally na physically tunakuwa tunarecover.

My advice, take care of her so she can take care of your baby and eventually take very good care of you. Maisha ya ndoa si mchezo and not all about sex!!!!!
pole honey bee!nimevaa viatu vyako vimenibana!nimekuelewa sana mamiie!
 
Last edited by a moderator:
Dada mm ni baba wa mtoto 1, ukweli nawaheshim sana wanawake hadi hivi nazungumza sija fikiria kupata mtoto ingawaje mwanangu ana 7yrs, namuonea huruma sana mkewangu,hasa nilipo mpeleka hspl nikaambiwa sasa waweza kwenda naalikaa huko saa 10,ukweli sikuweza hata kula wala kulala.siwezisema yote.

hongera wanaume wote wangekua km wewe ingekua afadhali. Wengne wanajua kusokomeza 2.
 
Back
Top Bottom