Wanawake msaidieni mwenzenu

Weka namba yake tutoe sadaka....ila hilo la kwanza la mwanaume yeyote awe baba wa mtoto asahau tena asahau kabisa wanawake siku hizi wamekuwa ni watu wa hovyoo na hawaaminiki tena.
 
Unaweza kujitolea, ukamsaidia na hata kuwa baba wa mtoto ila cha kushangaza anaweza kuja jamaa kwa kigezo cha kulea mtoto pamoja na wewe ukapigwa chini.
Hawa wanawake siyo binadamu wazuri, km unajitolea jitolee siyo kumuoa na kuwa baba wa mtoto.
 
Ndio maana nimewaambia wanawake wamsaidie mwenzao wewe achana nae
 
Inshort hii issue wahusishe familia yako maana no body anaweza kuwaamini nyie wanawake
Mkuu mimi sio mwanamke, msaada niliofanya ni kuwapeleka wanawake wenzie wampatie msaada hata kumpeleka kwenye taasisi zao huko
 
Kumbe mzeya wikend unasaka mbususu badoo

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mkuu wewe tunajribu jaribu ila unaweza chukua jiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…