Wanawake msaada hapa tafadhali

Binafsi.....
Mwanaume awe mrefu
Msafi/smart, awe ananukia(harufu mbaya zinaturn off jasho, kibeberu beberu, mdomo) ila sio sharobaro
Asiwe muongeaji saaana (much know)
Sura ya kuvutia
Kubwa kuliko vyooote awe "bad boy"
Hapo sichomoki
 
1.awe mcha mungu
2. Awe na upendo wa dhati
3. Awe na huruma
4.awe anajipenda(smart)
5. Awe mkweli
 
Mkuu hizo ndo sifa nnazotaka mimi! Kwa msiotaka kua wacheshi, kuna wasichana wanawataka hivyo mlivyo. Nataka niwe na mkaka ambae naweza kaa nae tukapiga stori na kucheka kama wehu! Ata nikiwa kwenye mood mbaya aweze kunirudisha kwenye hali ya kawaida.
 
Huyo bila shaka anatakiwa kuwa mtaalamu wa saikolojia.
 
Smart anamaanisha malengo ya huyo mwenza yawe

Specific

measurable

attainable

realistic

time bound
Yeap!: Awe na uwezo wa kuwaleta mipango yenye; malengo maalum, yanayoweza kupimika, kufikiwa, yenye uhalisia ndani yake na kwa muda uliopangwa.
 
Heshima

Kujali

Kuthamini

Kutuliza kidudu

Hofu ya Mungu

Mtafutaji

Full upendo

Asiwe na mkono wa birika

Msafi



Nitarudi kumlizia
Wanawake wakifanyiwa hivyo vyote huwa wanageuka kuwa ng'ombe. Hii utaisikia kwa wanawake wakisema fulani kashikwa kashikika. Au utakuta mwingine anatamba kwa rafiki zake kwamba wangu yuko kiganjani. Sasa unabaki kujiuliza wanawake wanapenda uwafanyie umafia ndo wakuheshimu? Ukweli ukimfanyia mwanamke hayo yote asilimia 99 watakuona lofa ikiwemo hata huyo unayemfanyia haya.

Mara nyingi utakuta ndoa za wanaume wababe zinadumu sana. Hii hunipelekea kufikiri kwamba that is the right treatment. Wengi wakipewa uhuru huzoea huo uhuru na kisha kujisahau ma hatimae kuwa karaha kwenye ndoa.
 
Mie hata sijui maanake kila nikiamka Nina wazo jipya
 
Ni kweli ila ni baadhi ya wanawake wasiotambua thamani wapewayo na wenza wao...

Mfano huo mbaya usikubadilishe ukamtrit vibaya kwayule anaestahili mema kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…