Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Nje ya pesa
1. Ucheshi
Sio unakua na mtu unashindwa hata kumtania bana mda wote serious tu
2. Ukarimu
3. Amjue Mungu
4. Awe na vision/mission
5. Smart
TehNje ya pesa
1. Ucheshi
Sio unakua na mtu unashindwa hata kumtania bana mda wote serious tu
2. Ukarimu
3. Amjue Mungu
4. Awe na vision/mission
5. Smart
mi niko serious na kutafuta maisha hadi sura imebadilika kidogo, lakini nina maweee hapo vepeeNje ya pesa
1. Ucheshi
Sio unakua na mtu unashindwa hata kumtania bana mda wote serious tu
2. Ukarimu
3. Amjue Mungu
4. Awe na vision/mission
5. Smart
Awe na objectives ambazo ni "SMART"Nje ya pesa
1. Ucheshi
Sio unakua na mtu unashindwa hata kumtania bana mda wote serious tu
2. Ukarimu
3. Amjue Mungu
4. Awe na vision/mission
5. Smart
hapo kwenye smart kivipNje ya pesa
1. Ucheshi
Sio unakua na mtu unashindwa hata kumtania bana mda wote serious tu
2. Ukarimu
3. Amjue Mungu
4. Awe na vision/mission
5. Smart
kukujali kivip hapoMimi binafsi sijui wadada wengine!
0. Mcha Mungu
1. Ajishughulishe... Asiwe tegemezi
2. Mcheshi
3. Awe anajali haswa kunijali mimi
4. Anajipenda/usafi na mtanashati
5. Awe na uhusiano mzuri na familia yake
Awe caring!kukujali kivip hapo
habari kuanzia sasa nimeamua nianze kufanya uchunguzi naombeni mnisaidie dada zangu hivi vitu gani unapenda awe navyo mwanaume ili uvutiwe nae nje na PESA
msaada tadadhali naomba mnitajie
Umeniua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vitu tofauti na pesa ni MONEY,FARANGA,MAPENE,MAVUMBA,DOLLARE, NA HELA.Kama huna pesa at least basi kuwa na hivyo
Awe mkweli kwako...do you understand that...Akikopa fedha kwa mtu au kwenye taasisi akuambie kweli, sio unashituka, vitu ndani vinasombwa na wadai!Awe caring!
Yule mtu ambae nikiumwa au kuoata tatizo lolote atakuwepo kwa ajili yangu. Nikiwa na huzuni aelewe kua nina huzuni!
Hapo kwenye #2 ,Mimi binafsi sijui wadada wengine!
0. Mcha Mungu
1. Ajishughulishe... Asiwe tegemezi
2. Mcheshi
3. Awe anajali haswa kunijali mimi
4. Anajipenda/usafi na mtanashati
5. Awe na uhusiano mzuri na familia yake
Mleta mada kasema sifa ziwe nje hela[emoji12]mi niko serious na kutafuta maisha hadi sura imebadilika kidogo, lakini nina maweee hapo vepee
Namanisha busara....hapo kwenye smart kivip