Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Huyo atakuwa na wanaume wengi na atakuwa kawadiss wanaume kadhaa lakini amesahau kama wewe sio mmoja wao. Malaya tu huyo mkuu achana naye asije akakuambukiza gono.
Huyo atakuwa na wanaume wengi na atakuwa kuwadiss wanaume kadhaa lakini amesahau kama wewe sio mmoja wao. Malaya tu huyo mkuu achana naye asije akakuambukiza gono.