fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,541
- 8,996
Hapo cha ajabu kipi?Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti