Wanawake mpoje nyie viumbe

Wanawake mpoje nyie viumbe

Hapana Sijambo
FDA888B9-50F2-4460-961E-36EC77E40FE5.jpeg
 
we dada tuheshimihane bhana mi nina hela ya kulisha wanawake wote tz ndan ya miez 2 nawa 3 nafirisika nb kipind namu mfuatilia alikuwa hanifaham vizur baada ya kupata story zangu kwamba jamaa nmb yake saiv anataka kuinunua crdb ndio hapo kapagawa
mkuu,ulikuwa unahaja gani ya kuniita dada? Unataka nikufunulie upande wangu wa pili?
 
Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Kwani hujui kuwa hao ni viumbe ? kakutukana hivyo na kukufukuza lakini ikipita hata nusu saa akikuona na mwanamke mwingine ,valangati litaanza hapohapo.
 
Back
Top Bottom