Wanawake mnavutiwa na nini?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Hisia nyingi za sisi wanaume huwa tunasifu,tunavutiwa,tunahusudu, tunapendelea hata tukioa tupate kitu ndani ya box yake au kwa maana nyingine itakayonogesha zaidi, mwanamke awe hajaguswa au hajaingiliwa na mtu yeyote yule, natumai nimeeleweka, sasa swali langu kwenu wadada na nyie mnapenda au mnapendelea, au mnahusudu,au mnatamani kitu kama hicho kiwepo kwa mwanamme?

Yaani mapenzi yenu juu ya kupenda ina utegemezi au liwalo na liwe yeyote yule hamna kupenda ile kama iliyoko huku upande wa pili?
 
Ninapenda mwanaume anaejitambua kuwa yeye ni mwanaume, bikira peleka huko.
 
Mwanaume usie na mihela kwa karne hii jijue tuu unasaidiwa na wenzako! Lol.
 

mm akisha kuwa mrefu, body loshiba kiasi, uweusi unao ng'aa etc. mengine nitavumilia.ahaaa
 
Anaejiheshimu na kujua wajibu wake kama mwanaume pesa na bikra cjui birika yake apeleke huko.Ajitume nitamfagiliaaa....
 
mwenye upendo wa kweli, mcha mungu, anayemsimamia mwenzie na kumlinda dhidi ya watu wowote, mjali familia yake au mwenzie, romantic.....
 
sijui ata namgunduaje uyo mwanaume bikira.mi anayejielewa na kujua majukumu yake usafi asisahau coz kuna wanaume wachafu ata kuongozana naye unajipanga kwanza
 
Siyo kweli bana. Hakuna mwanaume anaangalia bikra wakati wa kutafuta mchumba au anayetaka kuoa. Kama wewe unatafuta bikra ni wewe tu.

Ukitaka mwanamke bikra labda uende shule za chekechea. Mimi nilikutana na bikra mbili kabla aijao na wala sikuwaoa hao niliowatoa bikra. Niliishia kuoa experience woman. Na wala sikuuliza experience yake. Eti umewahi kuwa na bf wangapi. Haisaidii.
 
Mwanaume anayejua kuoga, sio mwanaume anavua ch&pi inaanza kukunukia, kikwapa hakina hata harufu ya deodorant. Hata niwe nimetoka jela, nitalala na njaa yangu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…