vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,231
Mlevi mmoja samahani sana kama nimekugusa. Maana wanaongelewa wavutaji na walevi na wewe ni miongoni mwao.Ngoja waje sahivi wapo jikoni wanatuandalia msosi wa jioni
Wala usiwaze mkuu mi sina wa kumbuguza kama hao wengine wenye familia na wala sihitaji nimekuwa committed na pombe tuu sina female companion wakuvumilia maswaibu yangu dhaidi ya pombeMlevi mmoja samahani sana kama nimekugusa. Maana wanaongelewa wavutaji na walevi na wewe ni miongoni mwao.
Sawa mkuu kila la kheri na partner wako pombe.Wala usiwaze mkuu mi sina wa kumbuguza kama hao wengine wenye familia na wala sihitaji nimekuwa committed na pombe tuu sina female companion wakuvumilia maswaibu yangu dhaidi ya pombe
Note : sio walevi wote wananuka uvundo wengine tunalewa kistaarabu
Huyo nae atakuwa ni muumini wa sigara.Manzi mmoja uwa ananiambia anapenda harufu ya sigara hatari, ndipo nikagundua unachokichukia mwingine anakipenda.
Ndo maana nikawapa pole wale ambao sio walevi na wavutaji.uwezi jua labda mkewe nae mlevi na mvuta sigara
Pole sana Breki ya Kenge.Hii sredi imeniharibia siku