Wanawake mnatuchukuliaje wanaume?


ni kweli mkuu hapo umenena.
 

unaonekana unajielewa kuliko wale ambao ukimsalimia kukujibu kazi ukimuongelesha anahisi unataka kumtongoza yani ni shida tupu.
 

sawa nimekuelewa ila inakuaje mtu akufikirie mambo mengine kabisa wakati unamuom?
 

sawa nimeelewa.
 
Na hiyo ndio sababu inayopelekea wanawake wa siku hizi kuchelewa kuolewa maana wao huhisi kila mtu ni muhuni, sasa we utajuaje kama huyu ni mwema au mbaya bila ya kumpa nafasi na uone mwelekeo wake??

afadhali umenisaidia kuuliza mkuu
 
kumbuka MUNGU alimuumba mwanamke kutoka ubavuni kwetu so lazima watakuwa dhaifu mbele ya mwanamke
same applied about their thoughts
 

sasa unamwomba namba ili iweje? mwache tu.
wanawake ndio walivyo halafu wanaume nasi unakuta tunawapapalikia sana wanawake,,, huo ni udhaifu, , mi mtu really sijawahi omba namba kwa msichana yeyote labda ye ndio aombe napo sio lazima apate,, maana kama ni maongezi ya kawaida tutaongea kukikutana face to face au kwa njia nyingine. . . sio eti ninwombe namba kwa ajili ya kuchati tu.
 

ni kweli kaka labda si ndo huwa tunawapapatikia sana hawa viumbe, ndo mana huwa wanatuhisi ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…