Wanawake mnatuchukuliaje wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje wanaume?

Jenga kwanza mahusiano mazuri na Mtu kabla hujaanza kuomba namba. Mtu mkishazoeana hata yeye mwenyewe anaweza kukupa namba yake. Kwa case ya kwenye daladala, jifunze tu kujikausha na wewe. Ukifika kaa tu kwenye seat yako, hamna ulazima wa kutoa Salamu kwa kila unayemuona
 
mimi sasa nakuja kivingine, wanaume sijui tuwaelewe vipi. Wanawake wakiwa wanatoa namba ovyo wanawaita malaya, wakiwa serious na who to give their mob numbers mnawashangaa.

Sasa nikuulize mkuu mtoa mada, hivi wanawake wangekuwa wanatoa namba kwa kila wanaemkuta hiyo space ya kuweka namba ingetoshea?? "Sometimes people don't know what they need in their lifetime"

FIKIRIA NA UCHUKUA HATUA.
 
Pole sana mkuu naona akili yako inawaza wanawake tu na kuchepuka....piga kazi time haingoji mtu
 
Na mimi niko kwenye karesearch kangu ka kujua kuna urafiki wa kweli kati ya msista duu mkaliii na braza men wa kawaida tuu. Yan kama ni kumtoa out kuwa na mda wa kusaidiana kutatua changamoto za kimaisha na ukaribu wa hali ya juu bila kugonga pampuchi yake.
 
ila kwenye daladala mara nyingi inakuwa si kuomba namba namba hata ile salamu atakujibu kwa shida sana kama unamlazimisha

hahah mkuu wamesha kugundua wakuchangamkie kwa salam af upate mwanya wa kuomb namba wakat ckujui hunijui tumekutan kwenye ice tu, pil wengne wana mawazo meng uwaache hvyo hujua nn kinamsib katk akil yake watu wanatembea ila mawazo, mipango meng utajumiz akil yako kisa salamu na namba ya cm bure.
 
waulize hao uliokutana nao wakaonesha hiyo tabia humu jf hawamo wa hivyo huku full kupeana namba
 
Unajua tatizo wanaume na sisi tumekuwa cheap saaana siku hizi. Kama demu humjui piga kimywa hata kama kakuvutia kiasi gani. Ikitokea tatizo msaidie kama lipo ndani ya uwezo wako. Ikitokea mkakutana tena yeye ndio ataomba mawasiliano yako. Hii inaleta heshima na kuondoa dharau toka kwa hawa viumbe ambao wengi wao wanaishi kwa nguvu za kiungo kilichopo katikati ya mapaja yao.

Hahaha eti kiungo kilichopo katikati ya mapaja yao, mkuu umetisha na pongezi kwako
 
Suala la namba lenyewe hapana, siwezi kutoa namba tu kama sikufahamu vizuri, mtu unaweza kuwa unaongea nae kila siku na mna heshimiana sana lakini bado huwezi juu anawaza nini juu yako, kwa kweli suala la namba hapana lazima uwe makini. hilo suala la kusalimiana na mtu mwenyewe tu, mi ukinisalimia nakujibu na stori tunatwanga - ila kuniomba namba ya simu ni kosa kubwa.

Na hiyo ndio sababu inayopelekea wanawake wa siku hizi kuchelewa kuolewa maana wao huhisi kila mtu ni muhuni, sasa we utajuaje kama huyu ni mwema au mbaya bila ya kumpa nafasi na uone mwelekeo wake??
 
Sasa utafahamiana vipi na strnger ambaye anahitaji kuwa na mawasiliano nawe na ikiwa njia pekee ya urahisi ni simu ???
 
Na hiyo ndio sababu inayopelekea wanawake wa siku hizi kuchelewa kuolewa maana wao huhisi kila mtu ni muhuni, sasa we utajuaje kama huyu ni mwema au mbaya bila ya kumpa nafasi na uone mwelekeo wake??

Uhuni umewaza wewe, kutoa namba hovyo kwa mtu usiyemjua linaweza kukupata hata la zaidi ya uhuni.
 
Unajua tatizo wanaume na sisi tumekuwa cheap saaana siku hizi. Kama demu humjui piga kimywa hata kama kakuvutia kiasi gani. Ikitokea tatizo msaidie kama lipo ndani ya uwezo wako. Ikitokea mkakutana tena yeye ndio ataomba mawasiliano yako. Hii inaleta heshima na kuondoa dharau toka kwa hawa viumbe ambao wengi wao wanaishi kwa nguvu za kiungo kilichopo katikati ya mapaja yao.

Mmmmhh! Hatari!
 
Nyie kinadada kutongozwa nako ni starehe na bahati.......mbona hamuishi kukimbilia kwa sangomaaa????
 
Wee kwenye daladala unataka nikupe namba ya kazi gani? huo msaada nimetangazia daladala nina matatizo??....nia nzuri nia gani na mtu humjui hakujui???
haya sasa mimi naomba namba yako rubii,
 
Na hiyo ndio sababu inayopelekea wanawake wa siku hizi kuchelewa kuolewa maana wao huhisi kila mtu ni muhuni, sasa we utajuaje kama huyu ni mwema au mbaya bila ya kumpa nafasi na uone mwelekeo wake??

Wacha urongo wewe mahusiano hayajengwi kwenye vituo vya daladala, ni hafadhari hata wale wanaofahamiana kwa kukutana kwenye sherehe mbalimbali mara nyingi inakuwaga ni perfect dating kwa mfano mmoja rahisi tu.
 
Back
Top Bottom