ndivyo walivyoumbwa
Ukiomba number mzee unasema na nia yako ya kufanya hivyo. Kuhusu kusalimia, utajua tu anayetaka salamu yako na asiyetaka pia. Kama una nia nzuri na mtu haelewi, fine...their loss.
mmmjh
mkuuu kwa mfano hunijui,hatuna biashara yoyote,unaomba namba yangu itakua ya nini zaidi ya kunitongoza?
Mkuu mdada umekutana nae kwenye dala dala, namba yake ya nini tena? Dunia imebadilika, usalama wake muhimu, ndio maana wanakataa kutoa namba, maana km sio wizi basi ngono inahusika hapo, waombe namba wadada mnaojuana.
Wanajua kua nafasi ya mwanaume ktk jamii ni kutongoza
Wee kwenye daladala unataka nikupe namba ya kazi gani? huo msaada nimetangazia daladala nina matatizo??....nia nzuri nia gani na mtu humjui hakujui???
hivi unajua thamani ya namba ya simu ya mtu. au unadhani ni kuchukua tu. nyie ndiyo mnatoa namba zenu bila kujua athari zake. wadada komaeni hivyo hivyo.
nenda facebook na ukirudi shuleni chukua za wanafunzi wenzako zitakutosha maana shuleni kwenu kuna wanafunzi 300 wa kike