Mi huwa nawashangaa sana wanawake/ wasichana, mara sijui huwa wanatuchukuliaje. Kwasababu, utakuta unazungumza na dada mnayeheshimiana sana lakini ukitaka heshima ipungue basi mwambie naomba namba ya simu.
Ataanza kuhisi unamtaka labda unataka kumtongoza, sasa sijui ni kwanini kwani wakati huenda hata usiwe na nia hiyo anayokufikiria lakini utashangaa anakupa visababu, au atakupa lakini kwa wasiwasi sana. Sasa mi najiuliza hawa viumbe huwa wanatuchukulia sisi ni watu wa aina gani? Au ndo wanahisi tunawaza ngono muda wote?
Tena wakati mwingine utakuta upo kwenye daladala umekaa na dada fulani siti zinazofanana lakini hakusalimii, ila sasa kitendo cha weye kumsalimia tu kwanza atakujibu kwa sauti ya chini sana kama unataka unataka kumtongoza.
Hivi kwanini nyie watu mko hivi kila mtu unam-treate kama vile anakutaka, kwanini?