Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,110
- 39,816
Watuambue tujue kwa kweliPesa......anazo
Hofu ya Mungu.....anayo
Umri..........Safi
Smartness.....Safi
Love........anampa kila kitu
Now what?
Instagram tu uko mchungaji ni mwendo wa mahaba niue... msukuma wangu hivi mara msikuma wangu vile lakini bado kachapiwa qudadadeqiTunataka LOVE 😎🥀🌺
Love inamaanisha "show nzuri"?Tunataka LOVE 😎🥀🌺
Mwalimu wangu wa Economics Mwakyulu pale Sangu alipokuwa anafundisha birth and mortality rate, population growth and its effect in economy alisema "vijana hamuwajibiki vilivyo, mnatakiwa kusugua mpaka wawaheshimu, siyo kupapasapapasa juu juu tu, shughulikeni mpaka wasahau kwinginePesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi la kongo, supu ya pweza n.k ili tu kuwarishisha, tumeingia gym kutengeneza six packs, tumeamua kuwa gentlemen lakini hajatosha kuwatuliza. Mnasema mnataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini ndo ivyo mpaka mke wa mchungaji anachepuka tena na katibu wa kanisa ilo ilo.
Msijali sana wanawake,ishi nao kwa mkono wa chuma,mtreat mwanamke kama kitu kisicho cha maana sana,ndio maana wazee wa zamani wanawake hawakuwasumbua na waliishi muda mrefu.nyie endeleeni kujifanya mnapenda sana,muone.Naomba niende moja kwa moja kwenye point bila hata salamu
Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je wanawake mnataka nini? Mmetusisitiza sana tutafute hela lakini wenye pesa zao hao wakina masanja bado wanachapiwa.
Pesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi la kongo, supu ya pweza n.k ili tu kuwarishisha, tumeingia gym kutengeneza six packs, tumeamua kuwa gentlemen lakini hajatosha kuwatuliza. Mnasema mnataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini ndo ivyo mpaka mke wa mchungaji anachepuka tena na katibu wa kanisa ilo ilo.
Naomba dada zangu wote leo mje hapa tumalize utata.. Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je wanawake mnataka nini?
Arooo..... KumbeeMsijali sana wanawake,ishi nao kwa mkono wa chuma,mtreat mwanamke kama kitu kisicho cha maana sana,ndio maana wazee wa zamani wanawake hawakuwasumbua.
Unajua ni kama nakubaliana na wewe, wanawake ni kama hawapendi uwe good man...uwe kukuru kakara ndo wanataka[emoji23][emoji23]Msijali sana wanawake,ishi nao kwa mkono wa chuma,mtreat mwanamke kama kitu kisicho cha maana sana,ndio maana wazee wa zamani wanawake hawakuwasumbua na waliishi muda mrefu.nyie endeleeni kujifanya mnapenda sana,muone.
Zamani huko hata kwenye biblia wanawake walikua hawahesabiwi,walikua hawachukuliwi kwa uzito mnadhani walikua wajinga?[emoji4]