maulana majaliwa
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 261
- 143
Ok twenzetu pm tuyajenge maana wanoko wametega masikioEeh kweli udongo ukiwa na rutba mimea itastawi[emoji108]
Ok ngoja nijaribuSasa huko ndio sipajui
Tubaki hapa hapa ila tumia colours less hawataona
hizi shutuma ni nzinto.ukimjua Mungu wa kweli na ukimtii kamwe tamaa haikutetereshi.80% ya wanawake ni malaya na wabinafsi pia wanaroho mbaya sana ndio maana hata wao hawapendani
Samahani hapo juu kwenye kuhusi mume kuhitaji wake wote kuna any evidence kutoka ktk vitabu vya dini ama ni tamaa zetuIjukiane kwamba...
Mwanamke anahitaji mwanamme mmoja tu duniani kumtimizia mahitaji yake yoote...
Hali ni tofauti si kwetu wanaume...
Mwanamme mmoja anahitaji wanawake wooote dunia nzima wamtimizia haja yake moja tu...
So kilichojitokeza hapo kwa huyo mke wa best yako ni kwamba...
Huyo mume wake ni kweli amaemtimizia baadhi tu ya mahitaji ya mke wake kama usafiri, elimu, pesa, chakula, na kadha wa kadha ila hapo kwenye NGONO sio penzi niseme tena NGONO jamaa kashindwa mtimizia so.....
Na mbeba vyuma ngono ila vingine kashinwa...
Na hapo ndio mwanamke hahaha huku na huku kutafuta wote awagawanye mahitaji yake.
Ndio hali halisi!!!
Hakya Mungu nakwambia ujue [emoji5] [emoji5] ila utawezajizuia usichanganyikiwe?Sema hakyamungu
Sema hakyamungu
Hilo neno haswa....magari kitu gani banaLabda jamaa yuko busy hadi anasahau kumkojoza mkewe
Ukiwa na pesa mingi halafu unamkuna mwanamke ile ile yani vizuri hakika ni ngumu kutoka nje ya ndoa au kukusaliti mkuu kigodoro.
Hivyo mwanamke atakusaliti hata kama una hela nyingi endapo unaendekezs viti vifuatavyo: haumkuni vizuri, hauna muda wa kukaa nae na n.k....sifa ya watu wenye hela hawana muda na wake zao isipokuwa tu wako busy na hela zao ndiyo maana unakuta wake zao wanawatafuta vijana handsome kama Mimi hapa ili kuwa hudumia kwa upande wa sex.
Kwa upande wa watu wanaojua kumkuna mwanamke ila hela hawana. Hapa mwanamke anakusaliti sio kwa sababu haridhiki na ukunaji wako bali ni kwa sababu huna hela na huwa unashindwa kumuekea mambo fulani Fulani hivi vizuri kisa huna hela.Hivyo basi, ili aweze kuwa na ulinzi katika mambo mengine anaamua kutafuta mwanaume mwenye hela!
Mwisho, mwanamke asiyekunwa vizuri hutafuta mkunaji mzuri wakati wale wanaokunwa vizuri ila mkunaji hana hela inamlazimu atafute mwanaume mwenye hela.
Hii inahusika pande zote kumbuka hilo...umalaya wanafanya na wanaume....hudumia mke mpe haki yake ya ndoa...ndiyo hitaji kuu80% ya wanawake ni malaya na wabinafsi pia wanaroho mbaya sana ndio maana hata wao hawapendani
Hapo sasa ndio mtihani ulipoHakya Mungu nakwambia ujue [emoji5] [emoji5] ila utawezajizuia usichanganyikiwe?
Teh teh taratibu utawezajizuia tuu mana hata mbuyu ulianza kama mchicha. Tena wewe wa nyumban utafaa kabisa mana nataka niwe na brand ya nyumbani mola akijalia [emoji5] [emoji5] [emoji39] jitahid bwana.[emoji57]Hapo sasa ndio mtihani ulipo
AyiiiTeh teh taratibu utawezajizuia tuu mana hata mbuyu ulianza kama mchicha. Tena wewe wa nyumban utafaa kabisa mana nataka niwe na brand ya nyumbani mola akijalia [emoji5] [emoji5] [emoji39] jitahid bwana.[emoji57]
Ohoo ndo ivyo sasaAyiii
80% ya wanawake ni malaya na wabinafsi pia wanaroho mbaya sana ndio maana hata wao hawapendani
Kwann?mwaka alipowaambia 99% ya wanaume ni malaya mlikuja juu, sasa nimejua kwann!!
Hiyo sababu tu, ila ni wazi wanawake hata hamuelewekagi mnataka nini kwenye mahusiano, mnaojielewa ni wachache mno yaani
Hahaaa ila we dadaangu unaeleweka mbona teh!tunaeleweka sanaaa nyie ndio hamueleweki ndio maana hamtuelewi!! mjielewe kwanza.