Wanawake mnataka nini ili mtulie?

You people jamani. ..[emoji4]
Tunakukwaza ee!!
Lakini sina nia hiyo.. Ni fikra tu.
Ndio maana nafikiria ipo haja ya kuruhusu mwanamke aoe/aolewe na zaidi ya mwanaume mmoja.
Tutapunguza maumivu ya pande zote,
 
Kwa kweli hata hatuelewi tunataka nini, hebu mtusamehe bure
 
Tunakukwaza ee!!
Lakini sina nia hiyo.. Ni fikra tu.
Ndio maana nafikiria ipo haja ya kuruhusu mwanamke aoe/aolewe na zaidi ya mwanaume mmoja.
Tutapunguza maumivu ya pande zote,
Nope hamnikwazi...
Haaaa kuna yule sijui wa mkoa gani alikua na Waume wawili
 
80% ya wanawake ni malaya na wabinafsi pia wanaroho mbaya sana ndio maana hata wao hawapendani


Muhanga mwingine huyu wa kupigwa chini na mademu, sasa amejaa chuki tupu, acha hizo mbona Wanawake watu wazuri tu tafuta saizi yako!
 
kuna mwalimu wangu wa dini aliwah kuniambia kua mwanamke anahitaji ATTENTION yako tu na sio kingine!! ila ktk hio attention ukiichambua vizur utaona anataka kila kitu anachoota kukipata!!
Nakubaliana kabisa na huyo mwalimu wake.
 
Kumbuka mapnz so pesa, may b huyo mwanaume chumban n zgo na mwanamke dam bado inachemka, af mi nashindwa kuwaelewa nyie wanaume hv we una uhakika gan kama huyo mme wake na safar zote zile alikua hachepuki?? Kwnn iktokea mke kachepuka mnatoa lawama nyiing bt kwenu nyie mnacngzia tamaa why??
 
Haitakuja upate majibu hata siku 1dhidi ya mwanamke mkuu,ni watu wa ajabu sanaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…