Wanawake mnaowakataa wanaume huo ujasiri mnautoa wapi?

Wanawake mnaowakataa wanaume huo ujasiri mnautoa wapi?

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,308
Habari za wakati huu ndugu zangu..

Hivi hawa dada zetu watuambie hapa wanapata wapi ujasiri wa kuwakataa wanaume wanao wahitaji kwa lengo la kuwaoa ili hali wanafahamu wazi kabisa waoaji ni wachache sana na pia wanajua kabisa mwanaume muoaji hana hela za kutosha kutimiza mambo ya anasa, bali anazo zakutimiza mahitaji ya msingi ya binadamu na ni mpambanaji tuu mzuri.

Utakuta mwanamke/ binti amefikisha umri wakuolewa kabisa na hataki mwanaume na ikitokea ana tongozwa yeye ni sitaki na taka haeleweki kabisa.

Mwanamke unakuta hasomi, hana kazi maalumu kutwa kuzunguka tuu mijini huku na huko makundi kwa makundi huku na huko, mwingine unakuta kajikalia tuu nyumbani na bado anakataa mwanaume anae kwenda kumposa kwa lengo la kumuoa na sababu za msingi hana .

Tuambieni leo mnapata wapi huo ujasiri..
 
Huna tofauti na wale vijana wakitongoza binti na kukataliwa wana waua. Sio lazima kila unachoomba upewe lakini pia huenda huna hadhi sawa na unayemtongoza tafuta level zako
 
Back
Top Bottom