Fara ni wewe usijua nyuma yako tena yawezekana akili zako ni ziro, kuna binadamu asiyejadiliwa hapa duniani? Ukiwa na mwonekano tofauti lazima watakujadili tu, sasa ww tembea uchi uone kama hurushwa hewani. Yaelekea hujui magazeti ya udaku kazi yake ni nini kilaza mkubwa weeeee