Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Waungwana,
Baada ya kuwa Nimerusha jiwe gizani na kuwapiga kina dada wengi na hadi sasa mayowe na kelele zinaendelea kusikika hadi makomandoo wawili wenye mafunzo ya hali ya juu katika medani ya ushambenga wamejaribu kuuzima moto lakini wapi ndo kwanza unazidi kuunguza wenye tabia mbaya na kurekebisha wenye mioyo iliyopondeka, Nashukuru kuwa jiwe hilo limekuwa na litakuwa dawa kwa muda mrefu japokuwa inauma.
Naam, sitachoka kuwaweka sawa hata kama hamwambiliki, Leo nataka kuwaonya kina mama na kina dada wote wanaopenda kwenda kwa masangoma waache mara moja maana Nimeshudia jambo baya ambalo mimi kama mtu wa Mungu siwezi kukaa kimya lazima Niweke hadharani.
Kuna jamaa mmoja Namfahamu anapenda sana ngono na pia ana uwezo mzuri kipesa, sasa kuna wake za watu alikuwa akiwatamani sana ila kuwapata ikawa ni mgumu, Alichofanya ni kwenda hadi kwa mganga mmoja maarufu sana ambaye wanawake wengi hupenda kwenda kwake, akampatia yule mganga sh mil mbili na kumwomba kuwa kila mwanamke mrembo anayefika kwake aidha kutafuta dawa ya kurekebisha ndoa yake au ya kupata mchumba awe anaambiwa na mganga kuwa, ukitoka hapa utakutana na mwanaume amevaa hivi atakutongoza, na wewe usikatae maana huo ndo mzimu wako wa mafanikio na uhakikishe umetembea naye tena ikibidi siku hiyo hiyo kwa kadri atakavyotaka yeye.
Baada ya kupanga mikakati yote na yule mganga, jamaa akawa anabana sehemu kusubiri mwanamke anayetoka kwa mganga na tayari wanakuwa wamefanya mawasiliano na mganga juu ya ujio wa mwanamke, napoandika hapa jamaa tayari kamaliza wake za watu kuwalala, na kina dada kibao, na tena kwa ushahidi nilionao ambao siwezi kuuanika hapa ni kuwa jamaa anawalala bila condom what a hell is that?
Anakuwa amevalia mavazi ya ajabu sana ili asitambulike na ana laini kibao za simu, kwa wake za watu anahakikisha kuwa kawalala siku hiyo hiyo, ndugu zangu hiyo ndo kazi ya shetani. Msidhani nimetunga hii ni kweli kabisa maana muhusika wa huu ushenzi namjua vizuri na tena nje ndani, na hadi napoandika hapa anaendelea na huo mchezo.
Ndugu zangu mgeukieni Mungu kwa shetani hakuna kitu zaidi ya mauti.

Last edited by a moderator: