mi nawaambia itafikia kipindi mtakuwa hamu olewi...........!!!!
Ha ha.....tafuta hela wewe......acha kupiga kelele.....
Itabidi na wewe usioe.......maana utapigiwa na wenye hela kila siku......ubaki kushika pembe.......
Changamka.......dunia ndo ishavaa pajama hii.......
Duuu.......!!!!
kweli wajinga waliwaoooo......
hiki ndiyo kizazi cha nyokaaa..
Fafanua nyoka yupi......black mamba.....green mamba......cobra.....puff ader......viper.....grass snake......python......au.....
Haaahaaaaa......!
ingekuwa bora kama huyu nyoka angekuwa na rangi ningeweze kumtambua...,ila huyu nyoka ndio chanzo cho kuchelewesha na kuzuia maendeleo ya mwanaumeee.....!!!
Usisahau kesho kupiga kura........fanya mabadiliko.......chagua Lowasa.........
Ulitaka tupende ngararumu.......?........
Fafanua nyoka yupi......black mamba.....green mamba......cobra.....puff ader......viper.....grass snake......python......au.....
mi nawaambia itafikia kipindi mtakuwa hamu olewi...........!!!!