Wanawake mnaobugia miudongo mnaboa sana!

Wanawake mnaobugia miudongo mnaboa sana!

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
25,946
Reaction score
25,308
Siku hizi imekuwa fasheni kwa wanawake wa rika zote kubugia miudongo, zamani wanawake wenye mimba ndio walikuwa wakitafuna udongo huu lakini kadri siku zinavyosonga tunashuhudia hata mabinti wadogo kabisa nao wameingia kwenye mkumbo.

Ukiwauliza kwanini wanakula huu uchafu wanajibu kwamba wanajisikia hamu kula udongo na kujiweka ktk hatari ya kuathiriwa na ugonjwa wa minyoo au appendix? Jamani, taratibu kina mama!

Inadhaniwa kwamba wanawake wanaokula udongo huu wanakuwa na upungufu wa madini ya chuma. Lakini kwa jinsi hali inavyoonyesha, inawezekana isiwe kweli kwani haiwezekani kwamba 90% of the females in TZ have iron deficiency! Hii inawezekana ikawa aina fulani ya ulevi/uraibu miongoni mwa kina mama wa kitanzania.

It's suprising to see an educated woman eating that stuff! Leo kuna bi shost mmoja hapa kitaa kabugia kiroba kizima cha udongo hadi ameshindwa kunyanyaka--kisa tu eti alikuwa na hamu nao! Horrible!
 
Ugonjwa hauchagui educated na asiye educated.... kama fashen basi hii imenipiga mtama.
 
  • Thanks
Reactions: ram
hii fashion ipite kule ... sijkujua basi sina taarifa ya hoii fashion
 
Ugonjwa hauchagui educated na asiye educated.... kama fashen basi hii imenipiga mtama.

kwanini asinunue iron tablets au atengeneze juice ya rozella badala ya kula mchanga wenye minyoo? ana tofauti gani na laywoman asiyejua alternative source of iron?
 
kwanini asinunue iron tablets au atengeneze juice ya rozella badala ya kula mchanga wenye minyoo? ana tofauti gani na laywoman asiyejua alternative source of iron?

Subiri waje wanaokula hayo makitu....labda wanazo sababu tofauti na unazozifikiria
 
Aise hii hali inatokeaga tu unakuwa na hamu ya udongo yani kuna kipindi nisipokula kabla ya chochote au lecture sielewi mi na marafiki zangu yani shida nikasemwa wee eeh i.thank God nimeacha kula udongo aisee ukiona wanawake wanaula ujue wana tatizo
 
Itabidi elimu ya lishe iwe compulsory kuanzia std 3 kuondoa huu usumbufu. Hii kitu ni mbaya no wonder tunazaa watoto wenye akili ndogo kisa mama alikosa health food. Badala ya kucheja na kuwakasirikia wanaokula kana jamii tutafute njia mbadala ya kuwasaidia ili tuweze kupata jamii yenye kizazi cha akili nzuri.
 
Hahaaa mtoa mada umezidisha....alikula kiroba kizima? Btw umenichoma haswaaa... Mimi sista alikuwa anakula sana udongo na mpaka kesho anakula sana tu kwa hiyo at the age of 7 na mimi nilikuwa nimeshaanza kula udongo kwa kuiga....nikajikuta nimezoea nikafikia hatua ya kuchimbua kuta za nyumba (nyumba za kule kwetu sio za hapa mjini). Kuna siku niliomba ushauri Jf doctor nikaambiwa nitumie sana dagaa. Thanx God sasa hivi nna miez mitatu sijagusa udongo japo kaham kanakuja lkn naweza kujikaza sio kama zamani nikisikia hamu naweza kukurupuka hata kitandani nikazama magengeni kusaka udongo
 
Ugonjwa hauchagui educated na asiye educated.... kama fashen basi hii imenipiga mtama that is why anaitwa miss strong!!
 
Mmmmmh
Hii mpya
Nipe research paper ya hii kitu
 
Nafikiri hamu ya kugegedwa imeisha wameamua kula udongo,lakini safi wataacha kutupiga mizinga ya hela badala yake anakubom udongo...loading error...

hahahaha! kweli watakuwa wamehamishia hamu zao kwenye udongo, sio bure!
 
Back
Top Bottom