Pamoja na extrem zote hizo bado wanabeep?
Ni kero ambayo iko kwa asilimia kubwa kwa wanawake wenye wapenzi/wachumba/waume ambapo mwanamke anaomba umtumie vocha kwenye simu lakini ukishamtumia akiwa na tatizo saa hiyo hiyo anakubip ili wewe(mwanaume) umpigie. Sasa haieleweki hizo vocha anazoomba atumiwe kwenye simu yake anatumia kuwasiliana na nani. Hebu akina dada tuambieni ni kwa nini inakuwa hivi maana ni vijimambo vidogo lakini vinakera kweli kweli.
Sina mpenzi wala mchumba, hvo hapanihusu.
Napita tuu....
Ni kero ambayo iko kwa asilimia kubwa kwa wanawake wenye wapenzi/wachumba/waume ambapo mwanamke anaomba umtumie vocha kwenye simu lakini ukishamtumia akiwa na tatizo saa hiyo hiyo anakubip ili wewe(mwanaume) umpigie. Sasa haieleweki hizo vocha anazoomba atumiwe kwenye simu yake anatumia kuwasiliana na nani. Hebu akina dada tuambieni ni kwa nini inakuwa hivi maana ni vijimambo vidogo lakini vinakera kweli kweli.
kautaratibu tumejiwekea baadhi yao kwamba mwanaume afanye yeye. me siombi vocha huwa naomba hela tu, extreem yangu ya siku sibeep ila napiga naongea kidogo nakata simu kwenye utamu utapiga tu kujua kinachoendelea huku nikidai network inasumbua mmmh!
Hapa hupiti tu, mi nahisi umekuja kutuhabarisha kuwa nafasi iko wazi, anayetaka na kuijaza aje!
nyie mnatuma vocha ya mia tano harafu mnataka mpigiwe. mim pia ningekuwa binti nisingepiga.
muwe mnatuma vocha angalau kidogo tu elfu 50.lazima akupigie
Thubutu yako.
Nina bonge la engage ring kidoleni...mwaka wa 13 huu na bado najipa matumaini ya ndoa.
Hahaha!