excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Sina mpenzi wala mchumba, hvo hapanihusu.
Napita tuu....
sasa we una nini madam?
mbona unaanza kunivutia!!!!
Sina mpenzi wala mchumba, hvo hapanihusu.
Napita tuu....
Hata kidot com jamani mmmh
Hahahah ni nooomami nashukuru babyto wangu, yeye akitaka uongee nae, kwanza anatanguliza TAFADHALI NITUMIE M-PESA!!!!
duh! kitu cha arusha ni hatari!
We ni mmachame?
Wewe nawe unakera kwa kukubali kuwa na wanawake kama hao.
Kama vipi piga chini tafuta anayetaka kuhongwa kikweli, kama gari hivi, au nyumba.
Ili hata kama unalalamika ulalamikie kitu cha ukwee, ukweli /s.
Ni kero ambayo iko kwa
asilimia kubwa kwa wanawake wenye wapenzi/wachumba/waume ambapo mwanamke
anaomba umtumie vocha kwenye simu lakini ukishamtumia akiwa na tatizo
saa hiyo hiyo anakubip ili wewe(mwanaume) umpigie. Sasa haieleweki hizo
vocha anazoomba atumiwe kwenye simu yake anatumia kuwasiliana na nani.
Hebu akina dada tuambieni ni kwa nini inakuwa hivi maana ni vijimambo
vidogo lakini vinakera kweli kweli.
Ni kero ambayo iko kwa asilimia kubwa kwa wanawake wenye wapenzi/wachumba/waume ambapo mwanamke anaomba umtumie vocha kwenye simu lakini ukishamtumia akiwa na tatizo saa hiyo hiyo anakubip ili wewe(mwanaume) umpigie. Sasa haieleweki hizo vocha anazoomba atumiwe kwenye simu yake anatumia kuwasiliana na nani. Hebu akina dada tuambieni ni kwa nini inakuwa hivi maana ni vijimambo vidogo lakini vinakera kweli kweli.

Ndio hapo sasa uelewe anataka kujua kama wewe ndio mwisho wa njaa yake au mbio zinaendeleateh teh teh......mkuu hawa wanawake wa dizaini hii unawatoa wapi!!!??? Yaani type hii wana njaa kali.