Naomba niseme sio wote, wapo baadhi wenye hii tabia.
Unakuta wadada/wamama wamekaa kibarazani mmoja anakaa uchi bila kujali wapita njia. Wenzake wamekaa vizuri.Mwingine akigundua anajifunika, lakini baada ya muda anakaa vile vile.
Je, mnapitiwa au makusudi?