Wanawake mnajiamini sana

Inasikitisha sana, mtu anaekupikia chakula ni wa kumuheshimu sana
 
Ndiyo maana kuna wakati hao wafanyakazi nao wanachukua maamuzi magumu.
 
Wanawake ni majasiri na sio waoga, anamkubalia mwanaume mwenye umri wa Baba yake na hata hajari ukubwa wa mashine atakayokutana nayo!
Kama hiyo haitoshi anakubali kubeba mimba akijua fika siku ya kuzaa ni kufa na kupona. Ila haogopi👏👏
 
Wanawake ni kama ccm tu aibu hawana kabisa. Hivi hao watu mlio wagawia baiskeli mmewaonaje pumbaf nyinyi!
 
Wanawake ni watu wenye roho mbaya sana, usiwachukulie maanani hata siku moja.
 
Wasichana sehem wanateswa ndio wanakaa kwa adabu na miaka mingi,ukiishi nae kama ndugu yako anaanza kukuona mnalingana anajiona mwenye nyumba sijui kwanin
Kuna utesaji wake ambao uko himilivu, mwingine hawezi aseeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…