Wanawake mnageuka chuma ulete

Haikuuachwa tangu zamani, Hatuiachi na Haitaachwa milele

Kwa majasho yenu tutaishi

Hamtaki mtuwache
issue ni muombe kwa mabwana zenu sio kisa tunapiga story leo na kesho tunaanza kuombana hela ,kwani si mnawale mnaitana love birds , hao ndio muwaombe hela sasa. Nikiomba pesa na demu wangu hakuna shida ila sio demu wa jamaa mwingine mie inanifaidi nn.

kwani we mama D ,mwanao anaenda kuomba pesa ya daftari kwa jirani wakat wewe upo??
 
Ingekuwa mimi nachagua kati yao pisi zangu kadhaa hapo nawafanya makoloni yangu muda wowote nikijisikia kunyandua nampigia simu naichakata
go with the tides au sio, wako mbalimbali hao probably kuna wadau wanakula sitaki niingie kwenye hio queue. Tunahudumia na kukulana kwa hawa wa karibu
 
Kwa Pisi moja tuu mmeombwa efu10 inawatoa jasho, sembuse hizo pisi kadhaa🙄🙄
hio ni moja ahhahaa vp hao wengine, afu kitu kingine msichojua ni kuwa pesa tunaombwa na wengi, kuna dada yangu pia naye last 1 week kaniomba 10k huyo nlimtumia bila shida ni damu yangu siwezi muacha ila sio hawa wengine.
 
Hivi hakuna jukwaa la watoto humu JF? Peleka huu ujinga na upuuzi huko
 
mkuuu mzee wa kupambania kwenye database hao hawahitajiki wanasababisha redundancy mzeee, hao hawafai hata kidogo wanaleta anomalies
 
mkuuu mzee wa kupambania kwenye database hao hawahitajiki wanasababisha redundancy mzeee, hao hawafai hata kidogo wanaleta anomalies
Hao kuna wakati unaona hauelewi mishe zako hazijakaa sawa au mademu zako wanakupanga na dude linataka huduma huwa wanasaidia sana.

Unajikuta unasuuza rungu kwa sababu uliwekeza tu
 
Ni hivi kwa stail uliyonayo waendelee tu kukupga mabomu mpaka upauke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…