Wanawake mnadhambi sana!!!

Wanawake mnadhambi sana!!!

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Kuna rafiki yangu x-wake kaolewa kama miaka tatu hivi. Kabla hajaolewa tuliwahi kuwa na mjadala na rafiki yangu pamoja na huyo binti kwamba nini maisha baada ya kuolewa. Nakumbuka tulikuwa maeneo ya southbeach kigamboni. Mwanamke alikuwa anamsistizia rafiki yangu ahakikishe hatamuacha kwa kisa ameolewa. Jamaa kajitahidi sana lakini binti hataki kusikia kauli ya kwamba kuolewa ndiyo alama ya mwisho wa mapenzi yao.

Matukio muhimu:
  • Binti alilala na x-wake siku ya send-off just kumuonesha kwamba he means alot to her
  • Siku ya harusi alicheza na Bibi harusi mziki kama utani wa kazini kumbe hakuwa wanafanya kazi pamoja. Bint kawashirikisha mashoga zake kuandaa mchezo
  • Kipindi cha honey moon zanzibar bwawani jamaa kapiga mzigo just imagine kapanga room in the same hotel. Jamaa mwenye mke alirudi dar kazini kwa kitu mahsusi ambacho wife alijua in advance
  • mwanamke hadi leo hataki kupata mimba ya husband kwakuhofia jamaa-mwizi akishajua wamezaa mtoto ataona hana mvuto atamuacha
la mwisho ndilo nalikemea hasa. Kila siku za weekend wakiwa wamelala hasa jamaa akiwa amelala fofofo, huyu mke anapiga video call watsap kwa jamaa anamuonesha alivyolala uchi na jisnsi fala alivyolala fofofo...

with due respect dada zangu, please huu sio uungwana. Ukishaolewa tulia na kama mtu humpendi why unamdhalilisha? My rafiki nimemshauri sana lakini sijui kapewa nini hasikii yaani nimepunguza ukaribu kwa kiasi kikubwa sana....
Jamani tuwe na ustaarab
 
Mawazo ya haraka haraka;

1. Show me your friends...

2. Dhambi ya mwanaume huioni? Infact hapo mwanaume ndo mkosaji mkubwa maana tunajua hawa dada zetu ni viumbe dhaifu.

Swali la nyongeza, kilichowafanya wasioane ni nini!??
 
===dhambi ya mwanaume iko wazi kabisa nayo ni kukubali. but all the push are coming from the other end
 
===
I wish ningevujisha kila detail hapa.......
You don't have to, kwa sababu utakuwa ni uongo tuu!, na kama ni kweli, huyo mwanamke sii mzima!, atakuwa ni imbecile!.

Binadamu mzima mwenye akili zake timamu hawezi kufanya kitu kama hiki, ila pia naomba kukiri, una uwezo mkubwa kutunga, ukiandika vitabu vita hit!.

P
 
=======
well nawaza nimshari jamaa arecord kidhibiti then tukitoe hapa ,,,,,,, au tufanye siku tuonane mkuu nikupe evidence
 
=======
well nawaza nimshari jamaa arecord kidhibiti then tukitoe hapa ,,,,,,, au tufanye siku tuonane mkuu nikupe evidence
Mkuu Mahwelu, hizo ni personal private matters za watu, urekodi exibits uzilete humu jf zije kufanya nini?.

By the way, nilicomment bandiko hili kwa bahati mbaya baada ya kulikuta kule, sisi wengine hutembelea MMU kwa nadra sana, mjadala mwema.
P
 
So
Mawazo ya haraka haraka;

1. Show me your friends...

2. Dhambi ya mwanaume huioni? Infact hapo mwanaume ndo mkosaji mkubwa maana tunajua hawa dada zetu ni viumbe dhaifu.

Swali la nyongeza, kilichowafanya wasioane ni nini!??
kilichowafanya wasioane ni nini swali la msingi kabisa Nawaza tu ndo mana ma mtu uwa yana uwawa aisee
 
  1. You don't have to, kwa sababu utakuwa ni uongo tuu!, na kama ni kweli, huyo mwanamke sii mzima!, atakuwa ni imbecile!.
Binadamu mzima mwenye akili zake timamu hawezi kufanya kitu kama hiki, ila pia naomba kukiri, una uwezo mkubwa kutunga, ukiandika vitabu vita hit!.

P
kama hayaja kukuta mshukuru tu MUNGU wanawake ni nyoko binafsi sina HAMU Aisee
 
Story itakua ya zamani..yani ufunge ndoa uende honeymoon bwawani hotel? Inahali mbaya, 2015 ndio ikapumulia mashine..hii story ni ya mwaka gani?!
Wanajaza server kwa mautumbo yao, Pasco kamshauri atengeneze kitabu maana ana kipaji cha utunzi.
 
Kwa nini alikubali kuolewa ikiwa bado anampenda ex wake?

Hawa ndio wanawake wachache wanaotufanya wanawake wote tuingizwe kwenye mkumbo mmoja
Huyo ex pia hana akili na always maji yanafata mkondo angejiweka mbali na huyo mwanamke tena hasa baada ya kuona ameolewa
 
Back
Top Bottom