Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Unataka kuniambia hapa bongo hakuna wanaume watanashati kama hao wanigeria au? Acheni mambo zenu nyie wanawake.Omg! heaven sent kweli aisee we forgot about him...he's got hell of a fine look too...daah [emoji7] [emoji22][emoji33][emoji33]...sema i only adore his sunshine eyes tu [emoji12][emoji12]
Haha haha nimechekaje. Mbona bongo wapo kibao tu pia, ngoja Leo tuwasifie hawa ambao hata hatuwezi kuwa-afford lolUnataka kuniambia hapa bongo hakuna wanaume watanashati kama hao wanigeria au? Acheni mamno zenu nyie wanawake.
Kule Kwetu...Van Vicker labda macho yake tu ila hamna kingine...mi nafahamu bongo kuna boys wengi tena wako vizuri tuUnataka kuniambia hapa bongo hakuna wanaume watanashati kama hao wanigeria au? Acheni mambo zenu nyie wanawake.
Poyeeee
Me hapo nimeona tu hilo shati lilivyokunjwa (nahisi nina hako kaugonjwa lol)
Maana tunaishia kula kwa macho tu uongo Heaven sent? acha tuwasifiepo kwanza tufurahishe nyoyo/mioyo[emoji30], zetu/yetu.Haha haha nimechekaje. Mbona bongo wapo kibao tu pia, ngoja Leo tuwasifie hawa ambao hata hatuwezi kuwa-afford lol
yani unaweza ukanikuta nasmile tu peke yangu, kumbe ni mkaka kapita kakunja shati vizuriiiiii (ila inategemea na size, sio mtu anavaa shati 6 metres eti na yeye analikunja akhuuuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] )Haha, niliona hiyo ya mikono and was like this's the peefect image for you...lol
Damn!! Noooo[emoji24], one of my friend used to told me that...most of pretty boys out there are extremely gays [emoji32]...and he was like: better take me i am Ugly but Masculine and i was like: hahaha[emoji23][emoji23] sema alikuwa anantania tu lakin...[emoji5][emoji5]
Maana tunaishia kula kwa macho tu uongo Heaven sent? acha tuwasifiepo kwanza tufurahishe nyoyo/mioyo[emoji30], zetu/yetu.
Wakaka wanapendeza jamani to be fair!! hongereni wakaka watanashati wote popote mlipo.yani unaweza ukanikuta nasmile tu peke yangu, kumbe ni mkaka kapita kakunja shati vizuriiiiii (ila inategemea na size, sio mtu anavaa shati 6 metres eti na yeye analikunja akhuuuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Hehe heh our dreams are no longer valid. Anyway, it's all about wants Vs NeedsHahah, such a disappointment. They're everything you'd want in a guy, smart, talented, focused.
But it's mostly two things with this called dream men. They're either taken, or gay.
Hahaha ahsante Kwa niaba yao lolWakaka wanapendeza jamani to be fair!! hongereni wakaka watanashati wote popote mlipo.
Yes Kui and that's too bad...i mean for a guy like that?[emoji32][emoji21], so disappointing...big time.Hahah, such a disappointment. They're everything you'd want in a guy, smart, talented, focused.
But it's mostly two things with this called dream men. They're either taken, or gay.
Hahahahaha!!Hahaha ahsante Kwa niaba yao lol
Hivi maneno/sentensi kama hii ndo wanaume wa Dar huwa wanasema ni kutafuta kick??[emoji1]Akina Van Vicker hata bongo tupo..πππ
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi maneno/sentensi kama hii ndo wanaume wa Dar huwa wanasema ni kutafuta kick??[emoji1]
Hahaha huyo anapendwa?au anajipendekeza!!!Hapo kwenye list muongeze na Le mutuz
Jamani...watu wachokozi humu[emoji28][emoji28]Hahaha huyo anapendwa?au anajipendekeza!!!
Hahaah wachokozi sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani...watu wachokozi humu[emoji28][emoji28]