kwan ww uwez jibu bandug au mbwe wbwe?Ngoja waje wakujibu
mod's mbadili MMU
iwe jukwaa la wanawake daaah!!
hio ni kweli mkuu wengine mmejuana siku 1 lakin mizinga hiyo balah. nilichogundua ni ugumu wa maisha unachangia
Kwakweli hilo ndo jambo lililobaki maana asilimia 98 za heading humu ndani ni wanawake wanawake...mod's mbadili MMU
iwe jukwaa la wanawake daaah!!
Umeona eeeh! yani wanatuandama sanaaa,sijui tumewafanya nini hawa viumbe wanaume?.
Kwakweli hilo ndo jambo lililobaki maana asilimia 98 za heading humu ndani ni wanawake wanawake...