Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.