princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
mimi nimewakuta Muhimbili mpaka manesi watu wazima wanatingisha vichwa.
Juzi kati nmemwona Mwenge kavaa kisketi kifupi mno halafu anangoja daladala.
huu utandawazi ni upuuzi mtupu!
hivi hawa malaya wa mjini somo wao ni nani?
hawaendi makanisani wakafunzwa kujiheshimu na biblia/misaafu
hawafunzwi na wazazi wao.?
wanawake wa sasahivi wanajifanya vichwa panzi. ila ni tabia chafu mnoo
zamani wazazi wetu hawakua hivo
walikua na adabu sana ndiomaana wakatuzaa tuwe na adabu na heshima!
mwanammke mjamzito mtumbo unauvalia bandage dress,[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] ningekua mwanaume mwanammke akinivalia nusu utupu na mimba atalea binafsi.