Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu?

Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu?

mkighare

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
396
Reaction score
271
Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu wezi wamejitokeza hadharani kwa mkuu wa mkoa na kujitangaza kwamba wana waibia na wanahitaji waume zenu warudi kwenye wizi kwa kuwarudia halafu nyinyi mnawanyamazia kwanini?
 
Kwani walitangaza na baba wa hao watoto?? Sasa hapo mkuu hao walio kwenye ndoa zao watajuaje?

Au unawashauri waende kwa mkuu wa mkoa waombe orodha ya wabab waliotelekeza watoto??
 
Kwani walitangaza na baba wa hao watoto?? Sasa hapo mkuu hao walio kwenye ndoa zao watajuaje?

Au unawashauri waende kwa mkuu wa mkoa waombe orodha ya wabab waliotelekeza watoto??
Naam waende wakachukue orodha wafatilie wapambane na wezi hao
 
Kwani waki pambana kuna kitu kitabadilika?
 
Back
Top Bottom