Wanawake mlijue hili kuhusu wanaume

mwanamke hata akiomba kiasi gani anaona ni sawa because anakupa k.
 
In a nutshell baada ya matonya wanaofuatia kwa kuomba omba ni wanawake
 
Ila mbona mnaanzaga wenyewe kutupa kabla hatujawaomba? Nyie ndio mnaotuzoesha.
 
Nimecheka, eti mara simu imeingia maji teh teh teh!!
Mimi huwa nikipiga stori na m'mama, halafu eti hata mbunyenge sijapiga anaanza please recharge me huwa na delete namba hapohapo halafu namuweka kwenye reject calls, pambafu!!!.
 
sasa bro kwanini uendelee kuchunika wakati unaona wazi kwamba mipango yako inayumba? na kwanini usimwambie kwamba siwezi kuchunika zaidi ya ngozi nitaumia? sometimes tunayataka wenyewe
 
Hahah mkuu naona unampigia mbuzi gitaa ili asakate rumba.

Siku hizi kama wallet haisomi hawa warembo utabakia kuwaita mashemeji.

Ati? Skulimet sijakuona Brazil Pub opp na Kibo complex...!
 
Nimecheka, eti mara simu imeingia maji teh teh teh!!
Mimi huwa nikipiga stori na m'mama, halafu eti hata mbunyenge sijapiga anaanza please recharge me huwa na delete namba hapohapo halafu namuweka kwenye reject calls, pambafu!!!.

Nlishawahi kuchat na kadem facebook. Hata hatujaonana kakataka nikaongezee laki mbili za kodi ya nyumba. Nikaambia kanipe namba yake ya simu. Nikampasia jamaa yangu akakagegeda wakati mimi nikiblock account yake!!
 
Punguzen hasira kakaz,nendeni nasi taratibu kitaeleweka2.
 
Nlishawahi kuchat na kadem facebook. Hata hatujaonana kakataka nikaongezee laki mbili za kodi ya nyumba. Nikaambia kanipe namba yake ya simu. Nikampasia jamaa yangu akakagegeda wakati mimi nikiblock account yake!!
Hawa wademu wanafikiri pesa zinaokotwa au?, yaani hata kuonana bado anataka laki mbili!!,
Hata hivyo bravo sana, mli mu outmanouvre.
 
Wanaume wnyw kutulia hawataki man mmoja wanawake sita, ndo mana mnachunwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…