Wanawake mkitukataa tukataeni taratibu

Wanawake mkitukataa tukataeni taratibu

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,966
Habary za muda huu waungwana.

Hebu tuelekee moja kwa moja kwenye mada.

MWAKA 2017
Mnamo mwaka 2017 kuna binti alitokea kunivutia saana , nikaona nimtongoze . Lakini alinikataa kwa HERUFI KUBWA kabisa kwa kudai kuwa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana boy friend wake na anampenda sana. kwa hiyo nisije nikamuharibia mahusiano yake.

OK, Kama kidume nikaramba ramba mdomo wangu kwa aibu na kuamua kujinyamazia na kupotezea. (japo iliniuma kimtindo) Lakini kwa ukosefu wa swaga sikuweza tena kumshawishi anipe papuchi.

Miaka ikaenda nikaendelea kuokoteza rizki zangu ndogo ndogo za papuchi kadiri nilivojaaliwa.

JANA (JUMANNE.)
Majira ya asubuhi sana, nikiwa bado nimelala, nikaona ujumbe mfupi na namba ikiwa ngeni, kumuuliza kumbe alikuwa ni yeye yule mdada. Lakini lengo la kunitafuta lilikuwa ni kuomba msaada wa kifedha, kwani aligombana na mumewe ambaye pia amemzalisha mtoto mmoja. Hivyo aliomba msaada wa kiasi fulani cha pesa ili ikiwezekana atoroke eneo lile kutokana na adhabu na mateso anayoyapata kwa bwana yule aliyenaye. (ndiye yule yule aliyefanya anikatae)

Aliendelea kusisitiza kuwa anaomba radhi kwa yote yaliyojitokeza... kwa hiyo anaomba nimuokoe katika adhabu ile.

Nami kwa jinsi nilivyo na huruma, nikamuuliza tu kuwa ni kiasi gani? na hatimaye nikaamua kumrushia muda huo huo kiasi alichokihitaji.

Hakuamini kilichotokea, na baada ya hapo aliomba kama kuna uwezekano aje anipe papuchi kwanza kisha aweze kuondoka kurudi kwao. Mimi nikamwambia kuwa haitawezekana kwani nilikuwa na demu wangu ninae mpenda na siwezi kumsaliti.
NINA IMANI AMEJIFUNZA KITU.

WITO WANGU KWA AKINA DADA
Mkiamua kutukataa, tukataeni taratibu. kwani kuna leo na kesho ambayo hatuijui.

asanteni
 
Tenda wema Nenda Zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28]

mzee baba sasa umemkopesha au umempa tu hiyoo pesa
 
Nak

nakupa tu siku mbil mkuu utatupa mrejesho kua ile hela nliyompa mke wa mtu nmeamua kumgegeda,ila samahan kwa kuanz kukuwekea heading mkuu
 
umeshiriki kumtorosha mke wa mtu, ila nahisi atakuwa sio mzuri maana lazima ungekula pupuchi
 
[emoji860][emoji860][emoji860]Ama ndio yule mdada wa asubui alie toa uzi wa kudai mmewe anamuonea wivu sana na hataki afanye kazi yeyote, na saizi huyo bidada yupo kwa wifi yake?!!

maana naona yeye kadai ana mtoto mmoja na anataka kurudi kwao, sawa na ww mtoa mada unavyisema hivyo hivyo..

angalia asije akukutolea uvivu akakutukana humu humu okaonekana m'mbea bure kwa kumdharirisha kuwa kakuomba pesa ,bwana kaka jiangalie...[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka akukatae taratibu kwa kukuonjesha papuchi? Siyo sawa maana alikuwa na mtu wake aliyempenda,,ameolewa mambo yakabadilika. Asante kwa kumsaidia maana hata ww hujui kesho nani atakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom