😅😅😅, walikuona wewe wa mananasi na machungwa.
Hahahahahhah wakaona ndio nilicho fata[emoji28][emoji28][emoji28], walikuona wewe wa mananasi na machungwa.
Kabisa yaan saizi ninapo enda meeting nahakikisha nina Hela yangu ya nauliSeat no 1, kwa dereva
Ushauri wangu jifunze kujitegemea
Ni tabia aliyo nijengea sababu alikuwa anatabia ya kunitoa yeye helaIvi kweli unajiamin vipi yani unaenda kwa manzi huna ata mia mfukoniii.. kwelii??
Sent using Jamii Forums mobile app
True aisee ila ilikuwa kitambo sana ..hapo ni sawa na mwanaume ndiye amekulipia kila kitu, utaliwa kimasihara ndugu.
Huu upuzi siji kurudia now nimejipanga sana[emoji23][emoji23][emoji23] we nae ni mpuuzi
Mananasi nahisi walikula Deleva na konda wake hahahahaNimecheka sana sana umenipa Furaha sana leo sikucheka hivi asee
eh hee vipi yale mananasi sasa hukuweza fanya mpango ukayarudia?
Hahahahahah kitambo sana man nimesahauPole kwa kuvulugwa aisee. Yaani ukasahau aksante zote ulizopiga kwa kidume alipokuwa anatoa hela ya mananasi na machungwa?? Nikajiweka kwa nafasi yako; Hivi walivyokuwa wanakununulia haya mavitu, walikuambia ukifika umpe mkeo au uwagawie majirani?? Mambo ingine, weka tu mbali na watoto